SteveMollel yupo group la michezo live updates za Simba Vs Raja.
Sheria iwekwe story yoyote isiwekewa muendelezo Kwa Zaid ya siku mbili bila taarifa yoyote kutoka Kwa mwandishi ifutwe.
Mtu hajafuatwa inbox kuombwa asimlie story yake iweje aanze kuileta hapa wakati hajaikamilisha? Kwa nini asiandike mdogo mdogo kwenye kifaa chake kisha ikikamilika ndo aanze kuitupia mdogo mdogo ?
Au lengo la
SteveMollel ni kutaka thread yake kupata replies nyingi?
Kama ndivyo ni vyema akasema atakuwa anaweka post siku ipi na ipi ndani ya wiki. Lakin yeye alisema atakuwa anapost kila siku
Kusema labda ametingwa na kazi Sawa lakin mbona yupo majukwaa mengine?