Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Nimeshangaa sana hawa madogo ambao hawakupata malezi mazuri. Sijaelewa why alinitukana na sikuwa nimemkosea lolote. Na Moderator naona wanafuga baadhi ya watu kuwaacha watukane wanavyojisikia.
Ni Wapumbavu Ni watot walio lelewa kimandazi Bab zao walikuwa hawana kauli kwa mam zao ndio maana havina adabu , ogopa Sana vitoto vya hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Umeelewaje pale pa yeye kupewa mwaka mzima likizo ya uzazi? Nifafanulie.
Tena sio mwaka mzima. Alipewa miaka miwili kabisa. Au hujapaona? Mpaka akaanza kwenda na mtoto shuleni?

Na hujaona swala hilo lilileta maneno hata kwa staff wengine kwamba fulani amependelewa kupita kiasi?

Kwanini kapendelewa na kwanini ikawa hivyo utaona katika sehemu zinazofuata.
 
Steve achana nao hao watakuchoshaa
 
Tena sio mwaka mzima. Alipewa miaka miwili kabisa. Au hujapaona? Mpaka akaanza kwenda na mtoto shuleni?

Na hujaona swala hilo lilileta maneno hata kwa staff wengine kwamba fulani amependelewa kupita kiasi?

Kwanini kapendelewa na kwanini ikawa hivyo utaona katika sehemu zinazofuata.
Ilikuwa likizo bila malipo au na malipo?
 
Back
Top Bottom