Warundike tu maana hazifananiStory zimekuwa nyingi Hadi nashindwa nisome ipi na kumaliza
Yuko SAS HV
Poker
UMUGHAKA
Analyse
Pettymagambo
SteveMollel
Jack Daniel
Wote Hawa Wana story zao zinatembeaa
Unaweza kuchanganya visa vya wasimuliaaji
Ni vyema mmoja amalize story Kisha mwingine aanzishe yake na siyo kuturundikia story zote hzo kwa wakat mmoja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anatuchomesha mahindi sana sijui kwaniniNi huzuni kwakweli😂
Sanaaa Steve alikuwa hayupo hivi jamani tunaomjua toka zamani tunajua alikuwa vipi siku hizi amebadilika sanaaakwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??
siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Sahihi kabisakwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??
siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha sitasahau cha radio free africa enjoyWarundike tu maana hazifanani
dawa ni kumsagia kunguni tu 😂😂😂😂😂Sanaaa Steve alikuwa hayupo hivi jamani tunaomjua toka zamani tunajua alikuwa vipi siku hizi amebadilika sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]dawa ni kumsagia kunguni tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa fokea unaambiwa una shoboUzuri watized kwa kusahau tunaongoza haka katoto kakuja kutupia moja utaskia asante mkuu bas nachenyewe venye kako arrogant katazidi kujikuta. Hizi ndude za hivi ni kuacha kuzisoma ziweke simulizi zikose wasomaji zipate stress depression zife