Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

kwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??

siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Sanaaa Steve alikuwa hayupo hivi jamani tunaomjua toka zamani tunajua alikuwa vipi siku hizi amebadilika sanaaa
 
kwa hio ndio atumie hicho kigezo kutesa wengine, kama angetaka kulipwa si angetoa tu taarifa??

siku hizi amebadilika sana, kibri kipo juu ya uwezo wake, zaman hakua hivi, mimi ni miongoni mwa watu waliotuma sana story humu sikuwahi kukawiza sababu najua unapomkawiza mtu anasahau hata wahuska ni nani inabidi aanze kurecall story upya, sio vizur
Sahihi kabisa
 
Uzuri watized kwa kusahau tunaongoza haka katoto kakuja kutupia moja utaskia asante mkuu bas nachenyewe venye kako arrogant katazidi kujikuta. Hizi ndude za hivi ni kuacha kuzisoma ziweke simulizi zikose wasomaji zipate stress depression zife
 
Kenyewe kanajiskia rahaa kubembelezwa yani mimi mtu akitaka kuniudhi anibembeleze mtoto wa kiume unahusudu vip kubembelezwa jaman mnatupa dhambi
 
Uzuri watized kwa kusahau tunaongoza haka katoto kakuja kutupia moja utaskia asante mkuu bas nachenyewe venye kako arrogant katazidi kujikuta. Hizi ndude za hivi ni kuacha kuzisoma ziweke simulizi zikose wasomaji zipate stress depression zife
Ukiwa fokea unaambiwa una shobo

Bladfaken

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom