Warundike tu maana hazifananiStory zimekuwa nyingi Hadi nashindwa nisome ipi na kumaliza
Yuko SAS HV
Poker
UMUGHAKA
Analyse
Pettymagambo
SteveMollel
Jack Daniel
Wote Hawa Wana story zao zinatembeaa
Unaweza kuchanganya visa vya wasimuliaaji
Ni vyema mmoja amalize story Kisha mwingine aanzishe yake na siyo kuturundikia story zote hzo kwa wakat mmoja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app