Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Kumbuka alikua ameekewa dawa ikampoteza fahamu au ndio Anwari hakujali kama ana ufahamu au hana as Long as ndio huyo na yupo nae hapo yeye hamu zake kamaliza na alibaki mwepesiii☺️!,!
Lengo lilikua moja tu kumnyandua Magreth hakujali kama yupo timamu au lah na alilithibitisha hilo kwa reference ya alivyowahi fanya Magreth kipindi anamhitaji Anwari amtie mimba.
 
Sawa mkuu! Halafu hivi alomuua mamkwe ishajulikana ninani Kwani??? Mi bado sijaelewa yule mama kama kweli alikufa kwa presha na kisukari au ni Mage na Kama ni Mage si alikua anaota au??
Alikua anaota lakin alipoamka alikua anaumwa viganja kwahiyo kuna namna Amiri alimtumia Magreth kuteketeza maisha ya mama mkwe.
 
Mage alimchelewesha kumpatia damu za next target akakosa namna!
Tena kuku wenyewe walikua matetea jamani dahh!
Kuna mamkwe wengine nuksii sana mi mwenyewe leo hii mamkwe wangu akifa nitashangiliaaa na kusherehekeaa ni ana mdomo ana gubuuu nongwa sana mfyuuu zake yule mama!
Next target ni Anwari sijui ndio tayari kashakufa maana hapatikaniki.

Mvumilie tu ndie mama wa mumeo, mwanaume uliemchagua miongoni mwa wengi. Remember na wewe ni mama mkwe miaka michache ijayo 😄
 
Kwakweli mimi mamkwe muelewaaa sitakua na nongwa kabisa kwa madogo walai Mungu anisaidie mkuu!! Ushaona mamkwe anamletea mwanae wanawake wengine na anajua wee upo na unajulikana ukoo mzima???

Afe hata dakika hii yule mama yani hii story nasoma huku nacheka na kuhuzunika at the same time nikikumbuka matukio fulani kmaninaaa sana yule mamkwe wangu!
Wa kanda ile ukae tuu uwaangalie utaona mengi kikubwa uvumilivu...pole sana..ila mkiwa wamoja ww na mr hakuna kitakachowateteresha
 
Kwakweli mimi mamkwe muelewaaa sitakua na nongwa kabisa kwa madogo walai Mungu anisaidie mkuu!! Ushaona mamkwe anamletea mwanae wanawake wengine na anajua wee upo na unajulikana ukoo mzima???

Afe hata dakika hii yule mama yani hii story nasoma huku nacheka na kuhuzunika at the same time nikikumbuka matukio fulani kmaninaaa sana yule mamkwe wangu!
Huyo mamkwe wako ni muhuni mama unaanzaje kumtaftia mwanao wanawake ili hali anajua fika mwanae ameoa? Kuna mengi sana yanaendelea kati yao ila huyo mama ana tabia za kishenzi mno. Pole sana ndio mamkwe wako tayari.
 
Back
Top Bottom