Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hata mimi ningeitumia 😂 liwalo na liwe, kupenda sana ni uraibu unaweza fanya mambo bila kujali chochoteKweli Kabisa mkuu aliona atumie mbunu mbadala!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi ningeitumia 😂 liwalo na liwe, kupenda sana ni uraibu unaweza fanya mambo bila kujali chochoteKweli Kabisa mkuu aliona atumie mbunu mbadala!!
Itakua sis Amiri Mtu mbad sana yupo Cool hapo kama hana madhara yoyote vile kumbe mtu Nuksi sana!Huyu bwana mdg Amiri mbona kam ni mlinzi wa sirini wa Mage??? Anafanya maangamizi kimya kimya...au zile pedi alizochukua ndo zinampa koneksheni ya wabaya wa Mage??
Sa aliinjoy nini mtu yupo tu hata hana ufahamu na hajui kama wanafanya jamani!! Hata hisia zinakuja kweli???Hata mimi ningeitumia 😂 liwalo na liwe, kupenda sana ni uraibu unaweza fanya mambo bila kujali chochote
Inawezekana alikua na utimamu kwa kiasi fulaniSa aliinjoy nini mtu yupo tu hata hana ufahamu na hajui kama wanafanya jamani!! Hata hisia zinakuja kweli???
Inawezekana alikua na utimamu kwa kiasi fulani
Lengo lilikua moja tu kumnyandua Magreth hakujali kama yupo timamu au lah na alilithibitisha hilo kwa reference ya alivyowahi fanya Magreth kipindi anamhitaji Anwari amtie mimba.Kumbuka alikua ameekewa dawa ikampoteza fahamu au ndio Anwari hakujali kama ana ufahamu au hana as Long as ndio huyo na yupo nae hapo yeye hamu zake kamaliza na alibaki mwepesiii☺️!,!
Lengo lilikua moja tu kumnyandua Magreth hakujali kama yupo timamu au lah na alilithibitisha hilo kwa reference ya alivyowahi fanya Magreth kipindi anamhitaji Anwari amtie mimba.
Ngoja tuone itakuaje, akiendelea naomba unitag pleaseYeah ni kweli na ndio Anwari amejichimbia kaburi lake mwenyewe asubirie siku tu!
Sawa mkuu! Halafu hivi alomuua mamkwe ishajulikana ninani Kwani??? Mi bado sijaelewa yule mama kama kweli alikufa kwa presha na kisukari au ni Mage na Kama ni Mage si alikua anaota au??Ngoja tuone itakuaje, akiendelea naomba unitag please
ZaiCan you guess who is the next after Anuwari??
Mimi nahisi Zai
Wewe unahisi nani???
Alikua anaota lakin alipoamka alikua anaumwa viganja kwahiyo kuna namna Amiri alimtumia Magreth kuteketeza maisha ya mama mkwe.Sawa mkuu! Halafu hivi alomuua mamkwe ishajulikana ninani Kwani??? Mi bado sijaelewa yule mama kama kweli alikufa kwa presha na kisukari au ni Mage na Kama ni Mage si alikua anaota au??
Alikua anaota lakin alipoamka alikua anaumwa viganja kwahiyo kuna namna Amiri alimtumia Magreth kuteketeza maisha ya mama mkwe.
Amiri silent killer anapita hadi na roho za kwio 😅Ahaa hapo sasa nimeelewa Amiri mtu mbad sana ngoja tuone anavomsaidia Mage kwenye misheni zake shukrani sana!!
Next target ni Anwari sijui ndio tayari kashakufa maana hapatikaniki.Mage alimchelewesha kumpatia damu za next target akakosa namna!
Tena kuku wenyewe walikua matetea jamani dahh!
Kuna mamkwe wengine nuksii sana mi mwenyewe leo hii mamkwe wangu akifa nitashangiliaaa na kusherehekeaa ni ana mdomo ana gubuuu nongwa sana mfyuuu zake yule mama!
Next target ni Anwari sijui ndio tayari kashakufa maana hapatikaniki.
Mvumilie tu ndie mama wa mumeo, mwanaume uliemchagua miongoni mwa wengi. Remember na wewe ni mama mkwe miaka michache ijayo 😄
Wa kanda ile ukae tuu uwaangalie utaona mengi kikubwa uvumilivu...pole sana..ila mkiwa wamoja ww na mr hakuna kitakachowatetereshaKwakweli mimi mamkwe muelewaaa sitakua na nongwa kabisa kwa madogo walai Mungu anisaidie mkuu!! Ushaona mamkwe anamletea mwanae wanawake wengine na anajua wee upo na unajulikana ukoo mzima???
Afe hata dakika hii yule mama yani hii story nasoma huku nacheka na kuhuzunika at the same time nikikumbuka matukio fulani kmaninaaa sana yule mamkwe wangu!
Huyo mamkwe wako ni muhuni mama unaanzaje kumtaftia mwanao wanawake ili hali anajua fika mwanae ameoa? Kuna mengi sana yanaendelea kati yao ila huyo mama ana tabia za kishenzi mno. Pole sana ndio mamkwe wako tayari.Kwakweli mimi mamkwe muelewaaa sitakua na nongwa kabisa kwa madogo walai Mungu anisaidie mkuu!! Ushaona mamkwe anamletea mwanae wanawake wengine na anajua wee upo na unajulikana ukoo mzima???
Afe hata dakika hii yule mama yani hii story nasoma huku nacheka na kuhuzunika at the same time nikikumbuka matukio fulani kmaninaaa sana yule mamkwe wangu!
Wa kanda ile ukae tuu uwaangalie utaona mengi kikubwa uvumilivu...pole sana..ila mkiwa wamoja ww na mr hakuna kitakachowateteresha