Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Yani we dogo stive sijui umekuaje siku hz, hukuwa hivo HUKO NYUMA.
 
😂😂😂😂😂naona analike kwanza
Huyu sasa anatuchosha
Yan ungejua ninavyotiririkaga na hizo episode nikianza kusoma story hadi kula sili,usiku naikeshea hadi SAA kumi,nakuja kulala 2 hrs naamka,kesho yake ni mwendo wa kusinzia hivyo kibaruani,jioni tena ninayo hadi niende sambamba na nyie,ukiona nimelike ujue napita na comments za wadau kuifata episode inayofuata mama LA mama😉
 
Back
Top Bottom