G
Uwe una mpa Hela ndogo ndogo ,muwekee bajeti ya Kiasi Fulani Kwa mweziKupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.
Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Hahahaha itakua jamaa hatoi,Hela za kujikimuAlikua anataka hela ya Abaya uyo
a ubahili, yawezekana kila akikuomba ela mizungusho sana na pia labda humpi, yaan hiyo elfu 50000 ndio ikufanye ufike kwao!, mwana tafuta ela😂 elfu 50 haiwezi kuvunja penzi kirahisi hivyo labda kama una yako mengineKupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.
Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Unaongea tu hujui kwamba mimi sipendi kudanganywa hata ingejuwa elfu mbiliniambie ukweli,pesa ya matumizi banpa kulingana na uwezo wanguAch
a ubahili, yawezekana kila akikuomba ela mizungusho sana na pia labda humpi, yaan hiyo elfu 50000 ndio ikufanye ufike kwao!, mwana tafuta ela😂 elfu 50 haiwezi kuvunja penzi kirahisi hivyo labda kama una yako mengine