Na atafufua kuhakiki km maiti hizi zina unasaba na huyo binti, LolMaana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.
Usivyo na akili na ubahili wako bado ukakomaa hadi ukapajua kwao ili mradi uhakikishe ili usitoe 50k.
Kaka mpe huyo mtoto hela ya matumizi. Kama umempenda basi mhudumie, acha ubahili.
Elfu 50 tu unatafta kwao binti hadi upajue, akiomba laki 5 si itakua balaa, utatafta hadi makaburi ya babu zake.
50 unaiona ndogo?ni lini umemtumia mama yako mzazi kiasi hicho cha pesaBinti una mwanaume ukimuomba elfu 50 anafunga safari kuja kwenuu kuhakikisha kama mama haumwi kwelii... ila pussy linapendaaa bure bureee hilo ni paka shume sio mwanaume
Kwanini uumpe hela ya matumizi mtu ambaye hujamwoa? Na bado yuko kwao na wazazi?Maana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.
Kwa nini umlombe mtu ambae hujamuoa? Si uone ambae utakua unamiliki muda wote unamlomba bila shida?Kwanini uumpe hela ya matumizi mtu ambaye hujamwoa? Na bado yuko kwao na wazazi?
Namba yake.Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.
Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.
Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Kiongozi umesema point na naiheshimu sana bigup 💪Hela nampa kulingana na uwezo wangu
Ila na huyu ana point pia, watoto wa kike wana mahitaj kibao kama pedi, vocha, kusuka kama una malengo nae kunjua mkono zaidi mkuuKwa nini umlombe mtu ambae hujamuoa? Si uone ambae utakua unamiliki muda wote unamlomba bila shida?
Hakuna kitu cha bure kwenye hii Dunia, ukitaka kula lazima uliwe. Kula bila kuliwa hiyo haipo.