Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

Maana yake ni kwamba wewe humpi huyo binti hela za matumizi. Wewe ni bahili sana ndio maana binti aliamua hata adanganye ili umpe pesa.

Usivyo na akili na ubahili wako bado ukakomaa hadi ukapajua kwao ili mradi uhakikishe ili usitoe 50k.

Kaka mpe huyo mtoto hela ya matumizi. Kama umempenda basi mhudumie, acha ubahili.

Elfu 50 tu unatafta kwao binti hadi upajue, akiomba laki 5 si itakua balaa, utatafta hadi makaburi ya babu zake.
Hahaha
 
Itakuwa wewe ni bahili na huyo Binti hawezi kuombaomba.
Mara ya mwisho kumpa pesa ya matumizi yake zaidi ya laki ni lini?
Siwezi kuhonga laki mimi nakwanbia mpaka nimuweke ndani
 
Huyo ukimuoa tegemea kukuingiza matatizoni.

Ndio wale unasikia "kapandishwa kizimbani kwa kosa la kujipatia fedha kwa udanganyifu"
Mara kadhaa anakuja gheto hajawahi hata kudokoa hata mia,nadhani hapatatizo sio wizi baki uongo
 
Kwanini huwa mnasubiri mpaka muombwe hela?

Umempa sifa zote za mwanamke ila hela humpi daaa
50k kama huna mpe hata nusu basi

Kwenda kwao ilikuwa upajue kitambo sana na kujitambulisha
Hapo ndio wengi mnafeli
Haya umejitambulisha kwa mama mkwe au nae uliwahi kumuona mitaani
We acha tu siku hizi hakuna fornula ya how to find a good wife,kila mtu apite njia yake kikubwa ndoa idumu,kupata mke ni mtihani sana
 
Subra huvuta kheri, utapata tu kama nilivyopata mimi sio mmoja bali wawili 😄
 
Je, kama na yeye alikuwa anaupima mzani wa mapenzi yako kwake?
"Mtu hawezi kuwa na imani na wewe ikiwa na wewe huna imani naye.".
Nilimwambia anipitie asubuhi twende wote hospitali akaanza kuchengachenga,kipimo chaje kilifeli maana nilionyesha kuguswa na kuuguliwa
 
Labda una ubahili sana, kaona anatumia nauli kuja kwako akufanyie usafi, akupikie, uchi akupe na bado akiaga kuondoka unamwambia bye....bila kumwambia chukua nauli hii ata laki1, sa zingine efu50, ili tu uwajibike kiasi flani ktk maisha yake. Umshindwa kujiongeza
 
Nilimwambia anipitie asubuhi twende wote hospitali akaanza kuchengachenga,kipimo chaje kilifeli maana nilionyesha kuguswa na kuuguliwa
Ka efu50 tu ndo kakuhangaishe ivo na wewe? Si ungempea tu? Ukute hata ndo alikuwa ana shida zake ila ndo ivo baby mkono wa birika, baniani,
 
Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.

Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.

Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Umgekuwa unampa hela asingewaza kukuchukulia hela kwa njia ya uongo. Mpe hela ana shida zake za kutatua. Tofauti na hilo tatizo unaweza kuoa.
Huyo ni mwanamke mbunifu
 
Kaomba hela ya kawaida sana elfu 50, na hivyo wewe ni mbahili,
 
Tatizo kunidanganya,nilimwamvua asubuhi twende hospitali kumcheki mama mkwe alivyoanza kuchenga tu nikajua hapa kuna kitu
 
Umgekuwa unampa hela asingewaza kukuchukulia hela kwa njia ya uongo. Mpe hela ana shida zake za kutatua. Tofauti na hilo tatizo unaweza kuoa.
Huyo ni mwanamke mbunifu
Wanawake hawatosheki
 
Tatizo kunidanganya,nilimwamvua asubuhi twende hospitali kumcheki mama mkwe alivyoanza kuchenga tu nikajua hapa kuna kitu
Sasa ndiyo ufanye suprise za kuingia ingia ukweni kisa efu50 hata kama kadanganya? Huna adabu kabisa afu efu50 kama inakutoa jasho ivo vipi mahari ungetoa?
 
Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.

Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.

Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Inaelekea mgumu sana kutoa hela 50k tu umeifungia safari.
 
Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja.

Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila mtoto.
Hakujua kuwa mimi ujanja wa kizamani nilishaupitia,nikapambana mpaka nikafika kwao maana awali sikuwa napajua wala sina namba yandugu yake wa karibu.

Namkuta mama wa watu yuko anafagia uwanja.binti kuniona kakimbia mpaka naondoka hajarudi
Idiot
 
Mhurumie muoe tu, sasa hilo bomu unamuachia nani lije limlipukie ?
 
Msamehe tu, wachumba wengi wanaishi kwenye umasikini mkubwa ila hawtaki kukiru wanatumia uongo kujibrand.

Moja aliwahi kusema mama yake anafanya kazi bank, wakati anayemwambia anamjua mama yake ni muuza samaki na dagaa uono barabarani. Ila Hadi Leo baada ya kuona wamefanikiwa na huyo mama wameshamtoa kwenye pagala na anaisha maisha Bora.
Wasichana wengi waongowaongo sana.
 
Back
Top Bottom