Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

Miaka 9 iliyopita mlikua mnatumia njia gani kupigiana video call? Na mlikua mnatumia njia gani kutumiana picha usiku?
 
kuwa mpole. kwa nguvu huyo mtoto hutampata na hata ukimpata atakuzingua katika malezi. Mwache mtoto akae na mama yake.

otherwise, ongea kwa upole na mama yake akuelewe na mweleze malengo ya wewe kutaka kukaa na mtoto wa miaka tisa ni yapi maana kama ni malezi umechelewa. Mimi nina watoto wangu watatu niliowapata nje, moja kabla sijaoa na wawili nilikengeuka nikiwa ndani lakini wote niliwachukua, wa kwanza akiwa na miaka 7, wa akiwa na miaka minne na wa tatu akiwa na miaka mitatu. Wote niliwachukua kwa kukabidhiwa na mama zao tena kwa upendo na mahusiano mazuri na wanawasalimia watoto wao kwa uhuru.
 
Kwahiyo nifanyeje ndugu yangu
 
Mama yake anapata shinikizo na hofu toka kwa mume wake ndo mana hayupo tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…