Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

Pole na hongera sana ndugu.
Natamani iwe hivyo ata kwangu mkuu lakini naumia kuona jina kabadilishiwa na kupewa lingne sasa ata akija kurudi kwangu baadae vipi jina notaweza kumbadilisha akiwa mkubwa?
Mkuu zaa mtoto mwingine , mtoto kama ni wako atarudi tu , jina linabadilisha vinasaba vya damu? Au una matatizo huwezi pata mtoto mwingine , Tuliza kichwa punguza wivu na anza kuwaza kutengeneza familia yako.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako pia tayari Nina watoto wengne
 
1000140849.jpg
 
Watanielewa? Mana yule aliyekuwaga mume wake walipopita mahakamani alimlazimisha huyu mwanamke wamfanye yule mtoto kama sehemu yao ya familia hadi walimbadilisha jina
Mhhh hakuna mume anaeza ng'ang'ania mtoto ambae anajua mke wake kachepuka na sio wake ..
 
Back
Top Bottom