Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu.

1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la Chama cha Mapinduzi linaloitwa CCM mtandao. CCM hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania ila wana nia ya dhati ya kutumia matatizo ya watanzania kujinufaisha wao wenyewe na familia kupitia kutengeneza fedha nyingi sana, kuhujumiwa kwa bwawa la mwl nyerere, makaa ya mawe, gesi na Sgr ni mfano wa nia yao hiyo.

2. Jakaya Kikwete na Rostam Aziz ni tatizo kubwa kwenye nchi hii na Rais yoyote ajaye hawezi kuongoza nchi kwa raha ikiwa hawa mabwana bado wapo duniani.

3. Balozi Humphrey Polepole ameifanyia kazi kubwa CCM lakini alipotekwa na kuacha damu nyingi sana waliopaza sauti ya kumlilia siyo CCM ni CHADEMA. Kwa hiyo hata hao wanaoitukana CHADEMA leo huenda ndiyo ikawa mtetezi wao siku zijazo.

4. Kiongozi aliyekulia kwenye mazingira ya kupewa misaada hata akija kuwa Rais akili yake itabaki kwenye kuomba msaada tu.

Atagawa rasilimali zote alafu ataenda kuomba msaada kwa aliowagawia rasilimali zake.

5. Kutunga sheria tu haitoshi kwani Rais Magufuli alitunga sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa, kwamba ili ubinafisishe rasilimali yoyote ya taifa ni lazima huo mkataba ukajadiliwe kwa uwazi bungeni lakini Serikali ya awamu ya sita imesaini mikataba zaidi ya 60 inayohusu rasilimali za Taifa bila kuipeleka bungeni.

6. Siyo rahisi kumfanyia Rais wa nchi jambo baya bila yeye kupata taarifa kwanza, Rais Magufuli alikuwa anajua njama zinazopangwa na wanaozipanga kumuuwa lakini alipuuzia, alionyeshwa hadi barua zenye code tupu zikiwa zinatoka kwa kiongozi mkubwa mstaafu wa CCM mtandao. Kama Rais Magufuli angeamua kuzifanyia kazi hizo barua angewafikia na kuwaangamiza kabla hawajamwangamiza.

7. Kwenye kujilinda usimwamini mtu yeyote kwani waliomsaliti na kuchora ramani ya alipojificha Humphrey Polepole ni watu wake wa karibu sana kwa miaka mingi.

8. WanaCCM wote wanaomba ya October 29 yasijirudie tena kwani yakijirudia tena kwenye uchaguzi wa 2030 itakuwa balaa, wananchi watalipiza kisasi kwa kiwango ambacho hakijapata kutokea.

9. Waliojigamba kuifungua nchi sasa wameifunga kuliko kipindi chochote cha historia ya nchi hii. Tanzania inasemwa na kusimangwa kutoka sehemu zote duniani.

Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania hawezi kusafiri kwenda nchi za Ulaya kwa sababu ya udikteta wake, utekaji na mauaji.

10. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa CCM kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
 
Familia ya Polepole, wasipolipa kisasi Kwa Mafwele na Muliro,,,watakuwa wajinga, bongo familia za hao wanaotenda uhalifu zikiwa targeted mbona uhuni utaisha.

Yaani familia za
Polepole
Sativa
Mzee Kibao
DEO Soka

Mmeshindwa kumweka target Mafwele?????
Although Mafwele mwenyewe anaishi Kwa kujificha
 
Ameficha familia yake South Africa
 
Familia ya Polepole, wasipolipa kisasi Kwa Mafwele na Muliro,,,watakuwa wajinga, bongo familia za hao wanaotenda uhalifu zikiwa targeted mbona uhuni utaisha.

Yaani familia za
Polepole
Sativa
Mzee Kibao
DEO Soka

Mmeshindwa kumweka target Mafwele?????
Although Mafwele mwenyewe anaishi Kwa kujificha
Mafwele na Muliro unawaonea tu, hao ni mbwa tu wanaotumwa kung'ata na hata wakiondolewa watatumwa wengine. Wahusika wakuu wa uuaji nchini Tanzania ni Samia na Kikwete.
 
Kichwa Cha habari kilinifanya nikimbilie kuisoma nikiwa na Imani kuwa imeandikwa na mtaalamu, yaani mchambizi mahiri asiye na upunga upunga wowote...... Kutahamaki, kumbe ni madam iliyoandikwa na linyumbu tu flani lisilo na mapngo wowote Huku likiwa limepigwa tOne tOne na kina heche
 
Hatimaye Etwege, umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekeze hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
 
Hatimaye Etwege , umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekezw hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
Chuki Binafsi ndio zinawasumbua tu .Huyo mtoa mada anaongozwa na ukabila,Udini ,ukanda na chuki Binafsi tu.
 
Hatimaye Etwege , umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekezw hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
Sio Etwege tuu,
Nakuhakikishia hata Lucas baada ya 2030 mtakuwanaye akiponda atakae kuwepo baada ya kumaliza kibarua chake,
Tatizo la Africa ni ubinafsi
 
Chuki Binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda vinakusumbua sana na vitakuuwa na kukutoa roho. Utake usitake Na upende usipende Utaendelea kuongozwa na Rais Samia hadi 2030. Rais wa Nchi hii ni Mmoja tu na ndiye ataendelea kutoa Amri na maelekezo mbalimbali na kutekelezwa vyema kabisa kwa ustawi wa Taifa na watanzania.

Kama hutaki basi Hama Nchi ama kunywa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
10. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa ccm kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
Duh...!
P
 
Hatimaye Etwege , umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekezw hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
Enzi za Jiwe huyu mwamba alikuwa hana tofauti na Lucas Mwashambwa au huyo Tlatlaa nani sijui! Ilikuwa akiona mtu anampinga Jiwe kwa udikteta wake, kwa kuwaumiza watumishi wa umma, nk. Alikuwa anasema ni wapiga dili au wana vyeti feki! Leo baada ya Jiwe kupumzishwa na wahuni, hatimaye tumekuwa wote kwenye kundi lile lile la upinzani pamoja na ukweli kwamba sisi wengine ni wapenda mabadiliko tu.
 
Back
Top Bottom