Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Ni kweli mnabadilishana tu. Na wewe zamu yako ikifika ni mwendo wa kulia na kusaga meno.Mbona wanatesa ccm tu mpaka Leo?!!!
Ni kweli mnabadilishana tu. Na wewe zamu yako ikifika ni mwendo wa kulia na kusaga meno.Mbona wanatesa ccm tu mpaka Leo?!!!
Kwa kosa lipi?!!Ni kweli mnabadilishana tu. Na wewe zamu yako ikifika ni mwendo wa kulia na kusaga meno.
Enzi za Jiwe huyu mwamba alikuwa hana tofauti na Lucas Mwashambwa au huyo Tlatlaa nani sijui! Ilikuwa akiona mtu anampinga Jiwe kwa udikteta wake, kwa kuwaumiza watumishi wa umma, nk. Alikuwa anasema ni wapiga dili au wana vyeti feki! Leo baada ya Jiwe kupumzishwa na wahuni, hatimaye tumekuwa wote kwenye kundi lile lile la upinzani pamoja na ukweli kwamba sisi wengine ni wapenda mabadiliko tu.
huyo jamaa bado hujamgonga ignore ?Mpuuzi kweli wewe chawa , chuki gani hapo umeziona?
Wewe ndiye utakufa vibaya sanaNdio maana nimemkumbusha huyu kidampa wa buku 7 Lucas Mwashambwa siku Samuya akijifia ndio ataelewa alikua anatumika kama toilet paper ya mafisadi kutetea maslahi ya mafisadi.
Hilo robot la Lumumba mimi ninaenda nalo sambamba siliweki ignore list hadi siku akili zikimrudi kama Etwege tunavyomuona leo kapandisha uzi baada ya kuuona mwaka aliokuwa hajauona miaka 9 iliyopita.huyo jamaa bado hujamgonga ignore ?
🚮Mjinga kama wewe ndiyo chadema wanategemea ....Muslims lissu kuhusu JPM LEO HII UTAONA ANA TUBU...CCM INATAMANI SANA UPINZANI UKIWA NA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE KWA SABABU NI RAHISI SANA KUTUMIKA NA MAFISADI ...WALIO MWEKA NDANI LISDU LEO NDIYO WALE WALE WALIO MWITA JPM DIKTETA NA WALITOKA MBIO KUMTIZAMA LISDU AKIWA HOSPITAL...LISSU KWA KUKOSA KWAKE AKILI HAKUTAMBUA KUWA ADUI YAKE MKUU NDIYE HUYU HUYU ADUI WA TAIFA ...LISSU AKAWAFANYA MAADUI WA TAIFA KUWA MARAFIKI ZAKE ...SASA HAO MAADUI WA TAIFA WALIOKUWA WANAMCHUKIA JPM NA KUMCHAFUA NDIYO WAMESHIKA NCHI KWA SASA NDIYO WANAUA WAZALENDO NA KUMFUNGA LISSU HADI SASA.
Njoo uniue unasubiri nini maana UVCCM ndio kitengo kipya cha kuua wasiokubaliana nao mawazo.Wewe ndiye utakufa vibaya sana
Kamuulize lissu ..siku zote nasema hapa , wapumbavu mnajifunzaga kwa hasara na maumivu na uchungu mkubwa sana...ndiyo yaliyo mkuta lissu na chadema pia
Wanamtandao wamemuuaNaamini Pole pole yupo hai
Mungu azidi kumlinda🙏🏾
Lakini kila ubaya utalipwaInasikitisha sana
Ccm hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania ila wana nia ya dhati ya kutumia matatizo ya watanzania kujinufaisha wao wenyewe na familia kupitia kutengeneza fedha nyingi sana