Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Haya maandiko ya kuchochea vurugu ipo siku kitawaka kweli na watakaoumia ni wananchi wa kawaida.

Hao Chadema unaosema viongozi wake familia zao ziko nje ya nchi.

Pole Pole kilichomkuta ni Karma huwezi ngata mkono unaokulisha lazima jambo baya likukute.
Karma haina mwisho hata waliomuuwa Polepole karma inawasubiri
 
Mjinga kama wewe ndiyo chadema wanategemea ....Muulize lissu kuhusu JPM LEO HII UTAONA ANA TUBU...CCM INATAMANI SANA UPINZANI UKIWA NA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE KWA SABABU NI RAHISI SANA KUTUMIKA NA MAFISADI ...WALIO MWEKA NDANI LISDU LEO NDIYO WALE WALE WALIO MWITA JPM DIKTETA NA WALITOKA MBIO KUMTIZAMA LISDU AKIWA HOSPITAL...LISSU KWA KUKOSA KWAKE AKILI HAKUTAMBUA KUWA ADUI YAKE MKUU NDIYE HUYU HUYU ADUI WA TAIFA ...LISSU AKAWAFANYA MAADUI WA TAIFA KUWA MARAFIKI ZAKE ...SASA HAO MAADUI WA TAIFA WALIOKUWA WANAMCHUKIA JPM NA KUMCHAFUA NDIYO WAMESHIKA NCHI KWA SASA NDIYO WANAUA WAZALENDO NA KUMFUNGA LISSU HADI SASA.
Hao ndio waliompiga risasi na kuagiza akifa akazikwe haraka au sio!? Halafu wakasema ni mbunge mtoro hivyo wamvue ubunge.
 
Yote anayoyapigia kelele Lissu sio personal!

Habari za nani kamuua nani , nani kamsupport nani na nani kamfunga Lissu has nothing to do na yale anayotaka Lissu yabadilike.

Lissu hafight watu binafsi ingekuwa hivyo angepata wa kumnyamazisha, as long as matatizo bado yapo hayo ndio Lissu yuko against nayo bila kujali nani anayasababisha.

Don’t you see? Fungua akili.
Hao ndio waliompiga risasi na kuagiza akifa akazikwe haraka au sio!? Halafu wakasema ni mbunge mtoro hivyo wamvue ubunge.
Lissu alikuwa anatumiwa na MAFISADI KUMPINGA MZALENDO JPM ...hivyo ilikuwa sahihi kushughulikiwa kikamilifu ..Leo lissu anajutia kwa kushikamana na wahuni dhidi ya MZALENDO JPM ..LISSU KATAMBUA UPUMBAVU WAKE WA KUKUBALI KUTUMIKA DHIDI YA UZALENDO WA TAIFA ...WAHUNI KINA ROSTAM AZIZI WAMEMUINGIZA CHAKA
 
wakuu sijui mengi kwenye hi dunia, ila najua kiasi tu ivi tawala za kidikteta kwenye hu ulimwengu ivi kunamwanamke yeyote? naomba kujuzwa tafadhal
Kuna huyo anaitwa Hasina alikuwa hapo Bangladesh kabla hajapinduliwa na maandamano ya wanabchi juzi juzi tu na akakimbilia India.
Unaambiwa hilo li_shetani limeua na kuteka watu hapo Bangladesh sio mchezo.
Baada ya kukimbia nchi limehukumiwa KiFO na mahakama nchini Bangladesh. Limepewa hifadhi huko India.
 
Lissu alikuwa anatumiwa na MAFISADI KIMPINGA MZALENDO JPM ...hivyo ilikuwa sahihi kushughulikiwa kikamilifu ..Leo lissu anajutia kwa kushikamana na wahuni dhidi ya MZALENDO JPM ..LISSU KATAMBUA UPUMBAVU WAKE WA KUKUBALI KUTUMIKA DHIDI YA UZALENDO WA TAIFA ...WAHUNI KINA ROSTAM AZIZI WAMEMUINGIZA CHAKA
Hizi ndio zile porojo zenu chato fc. Chato boy ndio alianzisha huu mchezo wa kudhibiti nchi kama mali yake, na kukanyaga katiba na kuwapoteza wapinzani wake wa kisiasa mfano Ben Saanane na kuwapa kesi uchwara na kuharibu biashara zao halali. Sasa wengine wanaendelea alipoishia yeye.
 
Hizi ndio zile porojo zenu chato fc. Chato boy ndio alianzisha huu mchezo wa kudhibiti nchi kama mali yake, na kukanyaga katiba na kuwapoteza wapinzani wake wa kisiasa mfano Ben Saanane na kuwapa kesi uchwara na kuharibu biashara zao halali. Sasa wengine wanaendelea alipoishia yeye.
Kwa nini Lissu alikuwa ana lilia kwenda kuliona kaburi la JPM siku za karibuni ? Nijibu ? Tatizo lenu nyinyi ni maanithi wa akili hivyo ni ngumu kuelewa
 
Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu.

1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la chama cha mapinduzi linaloitwa ccm mtandao. Ccm hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania ila wana nia ya dhati ya kutumia matatizo ya watanzania kujinufaisha wao wenyewe na familia kupitia kutengeneza fedha nyingi sana, kuhujumiwa kwa bwawa la mwl nyerere, makaa ya mawe, gesi na Sgr ni mfano wa nia yao hiyo.

2. Jakaya Kikwete na Rostam Aziz ni tatizo kubwa kwenye nchi hii na Rais yoyote ajaye hawezi kuongoza nchi kwa raha ikiwa Hawa mabwana bado wapo duniani.

3.Balozi Humphrey Polepole ameifanyia kazi kubwa ccm lakini alipotekwa na kuacha damu nyingi sana waliopaza sauti ya kumlilia siyo ccm ni Chadema. Kwa hiyo hata hao wanaoitukana Chadema leo huenda ndiyo ikawa mtetezi wao siku zijazo.

4.Kiongozi aliyekulia kwenye mazingira ya kupewa misaada hata akija kuwa Rais akili yake itabaki kwenye kuomba msaada tu.

Atagawa rasilimali zote alafu ataenda kuomba msaada kwa aliowagawia rasilimali zake.

5. Kutunga sheria tu haitoshi kwani Rais Magufuli alitunga sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa, kwamba ili ubinafisishe rasilimali yoyote ya taifa ni lazima huo mkataba ukajadiliwe kwa uwazi bungeni lakini serikali ya awamu ya sita imesaini mikataba zaidi ya 60 inayohusu rasilimali za taifa bila kuipeleka bungeni.

6. Siyo rahisi kumfanyia Rais wa nchi jambo baya bila yeye kupata taarifa kwanza, Rais Magufuli alikuwa anajua njama zinazopangwa na wanaozipanga kumuuwa lakini alipuuzia, alionyeshwa hadi barua zenye code tupu zikiwa zinatoka kwa kiongozi mkubwa msitaafu wa ccm mtandao. Kama Rais Magufuli angeamua kuzifanyia kazi hizo barua angewafikia na kuwaangamiza kabla hawajamwangamiza.

7. Kwenye kujilinda usimwamini mtu yoyote kwani waliomsaliti na kuchora ramani ya alipojificha Humphrey Polepole ni watu wake wa karibu sana kwa miaka mingi.

8. Wanaccm wote wanaomba ya October 29 yasijirudie tena kwani yakijirudia tena kwenye uchaguzi wa 2030 itakuwa balaa, wananchi watalipiza kisasi kwa kiwango ambacho hakijapata kutokea.

9.Waliojigamba kuifungua nchi sasa wameifunga kuliko kipindi chochote cha historia ya nchi hii. Tanzania inasemwa na kusimangwa kutoka sehemu zote duniani.

Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania hawezi kusafiri kwenda nchi za Ulaya kwa sababu ya udikteta wake,utekaji na mauwaji .

10. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa ccm kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
Hiyo namba kumi ndio imenishangaza, kwamba "wananchi wafanye kile cha 29/10"! Kwahiyo unawapa maelekezo na sio unaingia nao front! Ahahahahaha!!!
 
Kwa nini Lissu alikuwa ana lilia kwenda kuliona kaburi la JPM siku za karibuni ? Nijibu ? Tatizo lenu nyinyi ni maanithi wa akili hivyo ni ngumu kuelewa
Kwa hiyo wewe ndio uko Akilini mwa Lissu au sio!? Unajua anachowaza au sio!? Wewe kweli ni ***** wa akili.
 
Lissu alikuwa anatumiwa na MAFISADI KIMPINGA MZALENDO JPM ...hivyo ilikuwa sahihi kushughulikiwa kikamilifu ..Leo lissu anajutia kwa kushikamana na wahuni dhidi ya MZALENDO JPM ..LISSU KATAMBUA UPUMBAVU WAKE WA KUKUBALI KUTUMIKA DHIDI YA UZALENDO WA TAIFA ...WAHUNI KINA ROSTAM AZIZI WAMEMUINGIZA CHAKA
Huna akili
 
Familia ya Polepole, wasipolipa kisasi Kwa Mafwele na Muliro,,,watakuwa wajinga, bongo familia za hao wanaotenda uhalifu zikiwa targeted mbona uhuni utaisha.

Yaani familia za
Polepole
Sativa
Mzee Kibao
DEO Soka

Mmeshindwa kumweka target Mafwele?????
Although Mafwele mwenyewe anaishi Kwa kujificha
Haya maoni yako ndiyo yamefanya nchi ifike hapa ilipo. Kudhani kazi ya kutetea haki ni kazi ya victims wa unyanyasaji wa dola tu na siyo wananchi wote. Ni kama nyumbu... kudhani kazi ya kupigana na simba ni kazi ya yule aliyekamatwa na siyo wote kwa umoja wao. Namna hii tutasubiri sana.
 
Kwa hiyo wewe ndio uko Akilini mwa Lissu au sio!? Unajua anachowaza au sio!? Wewe kweli ni ***** wa akili.
NDIYO MAANA NIKAWAAMBIENI MUULIZENI LISSU LEO HII ...MTAJUA NINACHO SEMA...LISSU ANA KIKILI KWA KINYWA CHAKE MWENYEWE.
 
Hiyo namba kumi ndio imenishangaza, kwamba "wananchi wafanye kile cha 29/10"! Kwahiyo unawapa maelekezo na sio unaingia nao front! Ahahahahaha!!!
Bila kufanya hivyo hizo chaguzi zenu uchwara mtaendelea nazo kwa kuwa mnawaona WaTz ni wapumbavu tu na ni Haki yenu kuwakanyaga kama zulia.
 
Hatimaye Etwege , umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekezw hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
Bahati mbaya sana hajaona kuwa Magufuli kwa kiasi kikubwa ni mwasisi wa kinachoendelea leo. Kipindi cha Magufuli mimi nilikuwa nasema kila siku adui wa Magufuli ni CCM wenzake na siyo CHADEMA, ila wengi akiwemo Magufuli walilewa madaraka na hakuliona hili. NB: Ndugai aliuawa....
 
Enzi za Jiwe huyu mwamba alikuwa hana tofauti na Lucas Mwashambwa au huyo Tlatlaa nani sijui! Ilikuwa akiona mtu anampinga Jiwe kwa udikteta wake, kwa kuwaumiza watumishi wa umma, nk. Alikuwa anasema ni wapiga dili au wana vyeti feki! Leo baada ya Jiwe kupumzishwa na wahuni, hatimaye tumekuwa wote kwenye kundi lile lile la upinzani pamoja na ukweli kwamba sisi wengine ni wapenda mabadiliko tu.
Kipindi cha Magu hata Mimi nilikuwa upande wa Magu kwangu nilimuona ni Rahisi mwenye mazuri mengi kuliko mabaya asilimia kubwa tuliokuwa tunampenda tulikuwa tuna logic na facts huwezi kufananisha na Wanaompenda Mama
 
Chuki Binafsi ,Udini ,ukabila na ukanda vinakusumbua sana na vitakuuwa na kukutoa roho. Utake usitake Na upende usipende Utaendelea kuongozwa na Rais Samia hadi 2030. Rais wa Nchi hii ni Mmoja tu na ndiye ataendelea kutoa Amri na maelekezo mbalimbali na kutekelezwa vyema kabisa kwa ustawi wa Taifa na watanzania.

Kama hutaki basi Hama Nchi ama kunywa Sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Mgonjwa wa akili
 
Back
Top Bottom