StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kwa mfano angewashughulikiaje?"Chuma mwenyewe alijua watabadilika Ivo akaona haija haja ya Kuwashughulikia"
That was a grave mistake
Kwa mfano angewashughulikiaje?"Chuma mwenyewe alijua watabadilika Ivo akaona haija haja ya Kuwashughulikia"
That was a grave mistake
Zote ni ID zake.Kuna Etwege na Eltwege usichanganye ID
Huyo luka ana makebo makubwa ila sio akili .. na anafikilia kwa kutumia makebo yakeManina ungekuwa na akili ungekuwa chawa? Wewe ni masikini wa akili na maliView attachment 3632118
Kwani wewe nani kakiambia kuwa watu wenye akili tunachukia dikteta yoyote ...Tanzania bila ya kuwa na RAIS DIKTETA MZALENDO NI NDOTO KUJA KUWA NA MAENDELEO NA HAKI NA KATIBA NZURI HATA SIKU MOJA ...KUNA AINA MBILI ZA MADIKTETAMagufuli alikuwa dikteta mbona hio iko wazi
Kwani wewe nani kakuambia kuwa watu wenye akili tunachukia dikteta yoyote ...Tanzania bila ya kuwa na RAIS DIKTETA MZALENDO NI NDOTO KUJA KUWA NA MAENDELEO NA HAKI NA KATIBA NZURI HATA SIKU MOJA ...KUNA AINA MBILI ZA MADIKTETAMagufuli alikuwa dikteta mbona hio iko wazi
karma is always thereLakini kila ubaya utalipwa
Mbona huyo dikteta ameshindwa kuacha misingi imara ya nchiKwani wewe nani kakiambia kuwa watu wenye akili tunachukia dikteta yoyote ...Tanzania bila ya kuwa na RAIS DIKTETA MZALENDO NI NDOTO KUJA KUWA NA MAENDELEO NA HAKI NA KATIBA NZURI HATA SIKU MOJA ...KUNA AINA MBILI ZA MADIKTETA
A)MADIKTETA WAZALENDO
B)NA MADIKTETA WASIO WAZALENDO.
Tofauti yao ni kuwa MADIKTETA wazalendo upenda uzalendo na wazalendo na kutafuta viongozi wazalendo ili kuongoza nao ...
Ila MADIKTETA wasio wazalendo , uchukia Uzalendo na wazalendo, kwao UZALENDO NA MZALENDO NI ADUI NO 1
Duu hatari!Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu.
1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la chama cha mapinduzi linaloitwa ccm mtandao. Ccm hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania ila wana nia ya dhati ya kutumia matatizo ya watanzania kujinufaisha wao wenyewe na familia kupitia kutengeneza fedha nyingi sana, kuhujumiwa kwa bwawa la mwl nyerere, makaa ya mawe, gesi na Sgr ni mfano wa nia yao hiyo.
2. Jakaya Kikwete na Rostam Aziz ni tatizo kubwa kwenye nchi hii na Rais yoyote ajaye hawezi kuongoza nchi kwa raha ikiwa Hawa mabwana bado wapo duniani.
3.Balozi Humphrey Polepole ameifanyia kazi kubwa ccm lakini alipotekwa na kuacha damu nyingi sana waliopaza sauti ya kumlilia siyo ccm ni Chadema. Kwa hiyo hata hao wanaoitukana Chadema leo huenda ndiyo ikawa mtetezi wao siku zijazo.
4.Kiongozi aliyekulia kwenye mazingira ya kupewa misaada hata akija kuwa Rais akili yake itabaki kwenye kuomba msaada tu.
Atagawa rasilimali zote alafu ataenda kuomba msaada kwa aliowagawia rasilimali zake.
5. Kutunga sheria tu haitoshi kwani Rais Magufuli alitunga sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa, kwamba ili ubinafisishe rasilimali yoyote ya taifa ni lazima huo mkataba ukajadiliwe kwa uwazi bungeni lakini serikali ya awamu ya sita imesaini mikataba zaidi ya 60 inayohusu rasilimali za taifa bila kuipeleka bungeni.
6. Siyo rahisi kumfanyia Rais wa nchi jambo baya bila yeye kupata taarifa kwanza, Rais Magufuli alikuwa anajua njama zinazopangwa na wanaozipanga kumuuwa lakini alipuuzia, alionyeshwa hadi barua zenye code tupu zikiwa zinatoka kwa kiongozi mkubwa msitaafu wa ccm mtandao. Kama Rais Magufuli angeamua kuzifanyia kazi hizo barua angewafikia na kuwaangamiza kabla hawajamwangamiza.
7. Kwenye kujilinda usimwamini mtu yoyote kwani waliomsaliti na kuchora ramani ya alipojificha Humphrey Polepole ni watu wake wa karibu sana kwa miaka mingi.
8. Wanaccm wote wanaomba ya October 29 yasijirudie tena kwani yakijirudia tena kwenye uchaguzi wa 2030 itakuwa balaa, wananchi watalipiza kisasi kwa kiwango ambacho hakijapata kutokea.
9.Waliojigamba kuifungua nchi sasa wameifunga kuliko kipindi chochote cha historia ya nchi hii. Tanzania inasemwa na kusimangwa kutoka sehemu zote duniani.
Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania hawezi kusafiri kwenda nchi za Ulaya kwa sababu ya udikteta wake,utekaji na mauwaji .
10. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa ccm kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
Omba Hekima kuliko pesa,huna Hekima Wala maarifa!Kichwa Cha habari kilinifanya nikimbilie kuisoma nikiwa na Imani kuwa imeandikwa na mtaalamu, yaani mchambizi mahiri asiye na upunga upunga wowote...... Kutahamaki, kumbe ni madam iliyoandikwa na linyumbu tu flani lisilo na mapngo wowote Huku likiwa limepigwa tOne tOne na kina heche
Ajifiche wapi juzi hapa katoka kumkurupua muhuni mwenzie aliedhurumu mtu hela ndefu.Familia ya Polepole, wasipolipa kisasi Kwa Mafwele na Muliro,,,watakuwa wajinga, bongo familia za hao wanaotenda uhalifu zikiwa targeted mbona uhuni utaisha.
Yaani familia za
Polepole
Sativa
Mzee Kibao
DEO Soka
Mmeshindwa kumweka target Mafwele?????
Although Mafwele mwenyewe anaishi Kwa kujificha
Na mwenzake tlaahtlaah na Dr wa manesi,matikiti maji!Bado tunamsubiria huyu kapuku Lucas Mwashambwa naye siku si nyingi atakuwa anatoa milio kama huyu Etwege, kuimba kupokezana.
As long as we can identify them and their beneficiaries. It is a crime, I repeat a mortal crime to let them live peaceful.Ameficha familia yake South Africa
Kuna kavulata naye ameingia kwenye huu upuuziNa mwenzake tlaahtlaah na Dr wa manesi,matikiti maji!
Wanajua sana,ila wanajitoa ufahamu!Kuna kavulata naye ameingia kwenye huu upuuzi
Wanaendekeza njaa sanaWanajua sana,ila wanajitoa ufahamu!
Swali la kianithi ...kwani alimaliza muda wake ...alipokuwa anaimba sana kuwa "ngojeni ninyoshe nchi wewe ulikuwa unaelewa nini? Uwezi kuunda misingi mizuri na bora ya nchi ikiwa wanufaika wa hiyo misingi mibaya na mibovu ukuwanyoosha kisawa sawa .... misingi hii mibovu ya nchi inawanufaisha viongozi wahuni na familia zao hivyo hao wanufaika huwa ni maadui no moja wa viongozi mzuri kama JPM.Mbona huyo dikteta ameshindwa kuacha misingi imara ya nchi
Kama ni hivyo mbona alivifungia vyama vya siasa visifanye siasa, au na vyenyewe vilikuwa sehemu ya ubadhilifu wa mali za umma? Hebu tuache upuuzi.Swali la kianithi ...kwani alimaliza muda wake ...alipokuwa anaimba sana kuwa "ngojeni ninyoshe nchi wewe ulikuwa unaelewa nini? Uwezi kuunda misingi mizuri na bora ya nchi ikiwa wanufaika wa hiyo misingi mibaya na mibovu ukuwanyoosha kisawa sawa .... misingi hii mibovu ya nchi inawanufaisha viongozi wahuni na familia zao hivyo hao wanufaika huwa ni maadui no moja ya kiongozi mzuri kama JPM.