Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Kama ni hivyo mbona alivifungia vyama vya siasa visifanye siasa, au na vyenyewe vilikuwa sehemu ya ubadhilifu wa mali za umma? Hebu tuache upuuzi.
Vyama vya siasa tz ni takataka kubwa sana kiongozi yoyote MZALENDO ni lazima naye atavifuta kwanza ....siasani kuna wapumbavu wengi sana ...mfumo mzima lazima ufumuliwe
 
Mafwele na Muliro unawaonea tu, hao ni mbwa tu wanaotumwa kung'ata na hata wakiondolewa watatumwa wengine. Wahusika wakuu wa uuaji nchini Tanzania ni Samia na Kikwete.
Kikwete mtu wa kushangaza sana, amekuwa waziri wa nje kwa miaka 10 akawa Rais kwa 10 mingine bado hajaleta somo lolote kwa Tanzania. Yaani mambo aliyojifunza akiwa waziri wa mambo ya nje ameshindwa kuyatekeleza akiwa Rais. Halafu kwa sasa anajifanya mshauri wa Samia, sijui anamshauri nini wakati yeye ameshindwa akiwa Rais!? Alitakiwa akae mbali sana na Ikulu kwa sababu uzoefu wake wa siasa za nje haujaisaidia Tanzania kabisa.
 
Kikwete ni fisadi kuu kwa sasa, hapo anachojali ni maslahi yatokanayo na ufisadi na ku-corrupt mfumo ili kumtengenezea njia Ridhiwani ya kuja kuongoza nchi.
Tatizo kubwa libaloikabili Tanzania kwa sasa ni Kikwete.
 
Vyama vya siasa tz ni takataka kubwa sana kiongozi yoyote MZALENDO ni lazima naye atavifuta kwanza ....siasani kuna wapumbavu wengi sana ...mfumo mzima lazima ufumuliwe
Inasikitisha sana
 
Bahati mbaya sana hajaona kuwa Magufuli kwa kiasi kikubwa ni mwasisi wa kinachoendelea leo. Kipindi cha Magufuli mimi nilikuwa nasema kila siku adui wa Magufuli ni CCM wenzake na siyo CHADEMA, ila wengi akiwemo Magufuli walilewa madaraka na hakuliona hili. NB: Ndugai aliuawa....
Ndugai ameugua kwa muda mrefu tu.... anyway Rip Ndugai.
 
Back
Top Bottom