Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Niliyojifunza kutoka kwenye utekwaji wa Humphrey Polepole

Mjinga kama wewe ndiyo chadema wanategemea ....Muulize lissu kuhusu JPM LEO HII UTAONA ANA TUBU...CCM INATAMANI SANA UPINZANI UKIWA NA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE KWA SABABU NI RAHISI SANA KUTUMIKA NA MAFISADI ...WALIO MWEKA NDANI LISDU LEO NDIYO WALE WALE WALIO MWITA JPM DIKTETA NA WALITOKA MBIO KUMTIZAMA LISDU AKIWA HOSPITAL...LISSU KWA KUKOSA KWAKE AKILI HAKUTAMBUA KUWA ADUI YAKE MKUU NDIYE HUYU HUYU ADUI WA TAIFA ...LISSU AKAWAFANYA MAADUI WA TAIFA KUWA MARAFIKI ZAKE ...SASA HAO MAADUI WA TAIFA WALIOKUWA WANAMCHUKIA JPM NA KUMCHAFUA NDIYO WAMESHIKA NCHI KWA SASA NDIYO WANAUA WAZALENDO NA KUMFUNGA LISSU HADI SASA.
Magufuli alikuwa dikteta mbona hio iko wazi
 
Familia ya Polepole, wasipolipa kisasi Kwa Mafwele na Muliro,,,watakuwa wajinga, bongo familia za hao wanaotenda uhalifu zikiwa targeted mbona uhuni utaisha.

Yaani familia za
Polepole
Sativa
Mzee Kibao
DEO Soka

Mmeshindwa kumweka target Mafwele?????
Although Mafwele mwenyewe anaishi Kwa kujificha
Hili jambo linapaswa kuchukuliwa hatua na yeyote mwenye uhai!
 
. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa ccm kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
Ndugu Acha kuhamasisha vurugu Hazina faida, hakuna Kijana wakujitokeza tena, kama unaona vyema tanguliza Ndugu zako mstari wa mbele
 
Mjinga kama wewe ndiyo chadema wanategemea ....Muulize lissu kuhusu JPM LEO HII UTAONA ANA TUBU...CCM INATAMANI SANA UPINZANI UKIWA NA WAJINGA WAJINGA KAMA WEWE KWA SABABU NI RAHISI SANA KUTUMIKA NA MAFISADI ...WALIO MWEKA NDANI LISDU LEO NDIYO WALE WALE WALIO MWITA JPM DIKTETA NA WALITOKA MBIO KUMTIZAMA LISDU AKIWA HOSPITAL...LISSU KWA KUKOSA KWAKE AKILI HAKUTAMBUA KUWA ADUI YAKE MKUU NDIYE HUYU HUYU ADUI WA TAIFA ...LISSU AKAWAFANYA MAADUI WA TAIFA KUWA MARAFIKI ZAKE ...SASA HAO MAADUI WA TAIFA WALIOKUWA WANAMCHUKIA JPM NA KUMCHAFUA NDIYO WAMESHIKA NCHI KWA SASA NDIYO WANAUA WAZALENDO NA KUMFUNGA LISSU HADI SASA.
Yote anayoyapigia kelele Lissu sio personal!

Habari za nani kamuua nani , nani kamsupport nani na nani kamfunga Lissu has nothing to do na yale anayotaka Lissu yabadilike.

Lissu hafight watu binafsi ingekuwa hivyo angepata wa kumnyamazisha, as long as matatizo bado yapo hayo ndio Lissu yuko against nayo bila kujali nani anayasababisha.

Don’t you see? Fungua akili.
 
Hatimaye Etwege , umeuona mwanga leo umeamini adui wa Tanganyika sio Lissu au mabeberu kama ulivyokua unadai awamu ya jiwe.

Umewafahamu hatimaye wakwamishaji wa maendeleo ni akina nani.

Ninaamini ukweli ndio umefanya usitelekezw hii ID yako hata baada ya kuuona ukweli sio kama akina Bia Yetu na ninaamini hata chawa Lucas Mwashambwa kuna siku akili zitamrudia na kujua adui wa Tanzania ni nani.
Kuna Etwege na Eltwege usichanganye ID
 
Yote anayoyapigia kelele Lissu sio personal!

Habari za nani kamuua nani , nani kamsupport nani na nani kamfunga Lissu has nothing to do na yale anayotaka Lissu yabadilike.

Lissu hafight watu binafsi ingekuwa hivyo angepata wa kumnyamazisha, as long as matatizo bado yapo hayo ndio Lissu yuko against nayo bila kujali nani anayasababisha.

Don’t you see? Fungua akili.
Lissu amenyooka
 
Haya maandiko ya kuchochea vurugu ipo siku kitawaka kweli na watakaoumia ni wananchi wa kawaida.

Hao Chadema unaosema viongozi wake familia zao ziko nje ya nchi.

Pole Pole kilichomkuta ni Karma huwezi ngata mkono unaokulisha lazima jambo baya likukute.
 
Ukweli ni huu, Humphrey Polepole ameitumikia CCM kwa moyo wote lakini alipolitekwa waliopiga kelele ni CHADEMA, Dah huu ni ukweli mchungu sana , kwamba CCM hawana fadhila wanaangalia matumbo yao tu, si kwa maslahi ya wanachama wao. Mungu atusaidie
 
Imaumiza sana
 
Back
Top Bottom