Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Usibishe.
Elezea gharama ulizotumia kusimamisha pagara jumlisha gharama za kupauwa, kisha linganisha na gharama za finishing; ndiyo utajua aina ipi ya ujenzi inakula Pesa.
 
Usibishe.
Elezea gharama ulizotumia kusimamisha pagara jumlisha gharama za kupauwa, kisha linganisha na gharama za finishing; ndiyo utajua aina ipi ya ujenzi inakula Pesa.
finishing unakula hela kutokana na wewe unataka ufinishi vipi. Gharama zinapishana hapo. Ukitaka finishing ya majuu poa ukitaka madirisha na nondo tu unalala na familia freshi tu
 
Kwa bei za materials sasa hivi kujenga ni burden kubwa sana, inabidi ujipange sana sana.
 
Kunakauli inakatisha tamaa, gharama za kupaua/za bati, zinanitoa damu...ila hapa naona kuwa ukipaua ndio unaanza ujenzi...wtf!!!si bora niache
Kupaua huwa ni pesa ya mara 1 mkuu, kwa case yangu ilitumika 17M kupaua tu
 
Nilianza ujenzi nikiwa 24 nikamaliza nikiwa 27 aisee nilikuwa napenda nyumba kubwa....nikajenga vyumba vya kujiachia....sebule kubwa ....ila kwa sasa natamani nyumba ndogo
watakuelewa wachache sanaaa kwenye hili
 
Hongera mkuu
 
Finishing ni gharama sana. Ndio maana amesema hivyo. Hakuna kuteleza kwenye finishing ndio maana boma zenye bati zipo nyingi watu wamezitelekeza [emoji28][emoji28][emoji28]
Gharama kubwa inaanzia kupaua. Yangu ilinikula 15m kupaua tu. Aluminium 6 m, milango ya mbao complete 840k kila mmoja, milango ya kisasa ya chuma 2,200,000 wa mbele na nyuma. Tiles 20m za India, hizi ni pamoja na za skirting nje. Umeme, maji etc ni shida. Bado grills za madirisha, fundi tiles, fensi etc. Nyumba ya kisasa ni gharama sana. Ila Mungu ni mwema niko kwangu
 
Duh nyumba ya bedroom ngap hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu 840k kila mlango wa mbao? Duuh
 
Mkuu 840k kila mlango wa mbao? , top ni sh 500,000, ni top hasa siwezi kunyanyua. Frame 350k, imejaa na zile papi za pembeni. Halafu ni mkongo. Nyumba ni ndefu kwenda juu. Kozi 11 chini, linta halafu kozi 3 juu.
 
Duh milango ya chuma mbele na nyuma tu M ngapi? Duh tunaomba utupe picha ya hio milango wakati mi hio milango wa mbele na nyuma ya chuma nilitumia laki 3 yote kweli ujenzi tunatofautiana kutoa ela si mchezo.
 
Ushanitisha mkuu naona Kama mil 100 na usher imeteketea kwa nyumba iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…