Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Mmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??😅

Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.
Watu wanatia chumvi, hakuna uhalisia
 
Mimi ni ke bwana

Premeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
 
😁😁😁
0_20220418_214959.jpg
 
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wake.
 
Premeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wake
 
Premeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mzik
Wanawake hawa enzi za JPM cheo cha ukuu wa wilaya kilikua chao, kila mwanamke mrembo alikua anatunukiwa u-DC unauliza walipata wapi pesa ?
Wengine hata hatujawahi fanya serikalini.
 
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mzik

Wengine hata hatujawahi fanya serikalini.
Hata kama haujafanya serikalini lakini hoja inabaki pale pale, wanawake wanavuna sio kwa ajili ya weledi (wanawake wengi weledi ni 0) bali upendeleo unaotokana na kugawa hiyo ni fact kokote kwenye NGOs, biashara, siasa bila kusahau "kudanga"
 
Sio wote ambao wanapata kwa upendeleo wako wachapakazi haswa ikiwemo mimi. Nimeajiriwa bila kumfahamu mtu wala kutoa rushwa ya ngono.
 
Natamani ningefanya hivyo ila nilishajibu hapo nyuma, kuna watu wakiiona nyumba watagundua ID yangu, kifupi ni nyumba ya vyumba vitatu, kimoja masta, sitting room imeunganika na dinning room, public toilet na jiko, nyumba ina urefu wa mita 9 na upana wa mita 11
Naomba ramani mzee baba
 
60,nyingine elfu 70. Kumbuka kuna tiles za kuta za jiko kubwa etc. Na nje kuzunguka msingi
Nimepiga hesabu yangu nimeona kama 85,000 kwa sqm, ukitoa ufundi kama 1.5m inakuja 83,000 kwa sqm. Ukijumlisha sqm za kuta za mabafu na hizo za msingi inawezekana kabisa ukatumia hela hizo. Ambazo mimi naweza kujenga kajumba ka vyumba viwili na kuhamia! 😎
 
Halafu kuna mtu amesema nimepigwa. Na nilienda kununua mwenyewe
 
Back
Top Bottom