Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Hata kupaua, Ina hitaji uwe na hela za mkupuoMengine yote rahisi,kigumu kwenye ujenzi ni kuweka hela ipatikane Mara 1 ya kununua kiwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kupaua, Ina hitaji uwe na hela za mkupuoMengine yote rahisi,kigumu kwenye ujenzi ni kuweka hela ipatikane Mara 1 ya kununua kiwanja.
Watu wanatia chumvi, hakuna uhalisiaMmmh we jamaa umezidi sasa, nyumba ya vyumba vitatu uijenge hadi kupaua kwa 7.5 M??😅
Sio nyumba ni kajumba , nimavyojua mimi, msingi tu wa maana utachukua zaidi ya 2.5M endapo akijenga kwa kujibana sana.
Mimi ni ke bwana
Wanawake hawa enzi za JPM cheo cha ukuu wa wilaya kilikua chao, kila mwanamke mrembo alikua anatunukiwa u-DC unauliza walipata wapi pesa ?Watu wengine mnapata wap Hela jamani million 150 za kujenga aiseee
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wake.Premeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wakePremeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mzikPremeum Answer
Kumbe wewe ni ke ?! Ndio maana ulipigwa bei za kiboya sana yani 238 SM eti 20 M kwa tiles tu ?! Heee !! Hata mafundi wakijua bosi ni mwanamke hua shangwe na wanafurahi sana. HATA mama maushungi alisema "mimi kusimamia kama Magufuli siwezi, sijui tofali ngapi, mbao ngapi siwezi. Mimi nasubiri niletewe riport"
Wengine hata hatujawahi fanya serikalini.Wanawake hawa enzi za JPM cheo cha ukuu wa wilaya kilikua chao, kila mwanamke mrembo alikua anatunukiwa u-DC unauliza walipata wapi pesa ?
Hata kama haujafanya serikalini lakini hoja inabaki pale pale, wanawake wanavuna sio kwa ajili ya weledi (wanawake wengi weledi ni 0) bali upendeleo unaotokana na kugawa hiyo ni fact kokote kwenye NGOs, biashara, siasa bila kusahau "kudanga"Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mzik
Wengine hata hatujawahi fanya serikalini.
Sio wote ambao wanapata kwa upendeleo wako wachapakazi haswa ikiwemo mimi. Nimeajiriwa bila kumfahamu mtu wala kutoa rushwa ya ngono.Hata kama haujafanya serikalini lakini hoja inabaki pale pale, wanawake wanavuna sio kwa ajili ya weledi (wanawake wengi weledi ni 0) bali upendeleo unaotokana na kugawa hiyo ni fact kokote kwenye NGOs, biashara, siasa bila kusahau "kudanga"
Ulikuwa unanunua mwenyewe? SQM 1 bei gani? Ya juu kabisa.Nimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wake
Naomba ramani mzee babaNatamani ningefanya hivyo ila nilishajibu hapo nyuma, kuna watu wakiiona nyumba watagundua ID yangu, kifupi ni nyumba ya vyumba vitatu, kimoja masta, sitting room imeunganika na dinning room, public toilet na jiko, nyumba ina urefu wa mita 9 na upana wa mita 11
60,nyingine elfu 70. Kumbuka kuna tiles za kuta za jiko kubwa etc. Na nje kuzunguka msingiUlikuwa unanunua mwenyewe? SQM 1 bei gani? Ya juu kabisa.
Naomba uje Pm, ila usishee na.mtu mwingineNaomba ramani mzee baba
Mili ni KeNaomba ramani mzee baba
Nimepiga hesabu yangu nimeona kama 85,000 kwa sqm, ukitoa ufundi kama 1.5m inakuja 83,000 kwa sqm. Ukijumlisha sqm za kuta za mabafu na hizo za msingi inawezekana kabisa ukatumia hela hizo. Ambazo mimi naweza kujenga kajumba ka vyumba viwili na kuhamia! 😎60,nyingine elfu 70. Kumbuka kuna tiles za kuta za jiko kubwa etc. Na nje kuzunguka msingi
Halafu kuna mtu amesema nimepigwa. Na nilienda kununua mwenyeweNimepiga hesabu yangu nimeona kama 85,000 kwa sqm, ukitoa ufundi kama 1.5m inakuja 83,000 kwa sqm. Ukijumlisha sqm za kuta za mabafu na hizo za msingi inawezekana kabisa ukatumia hela hizo. Ambazo mimi naweza kujenga kajumba ka vyumba viwili na kuhamia! 😎
Spanish inawezekana hasa nyumba ikiwa kubwa. Kuzunguka msingi inakula tiles balaa. Sasa msingi uwe mrefu au kuna slope upande mmoja.Halafu kuna mtu amesema nimepigwa. Na nilienda kununua mwenyewe
Nimeku pm pichaSpanish inawezekana hasa nyumba ikiwa kubwa. Kuzunguka msingi inakula tiles balaa. Sasa msingi uwe mrefu au kuna slope upande mmoja.