Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
444
Reaction score
488
https://maryknollafrica.org/wp-content/uploads/2017/06/dsc_0200.jpg
Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili.

Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka wilayani, bado kuna gharama za malazi na matibabu. Na gharama za matibabu nilivyoziona, mwananchi wa hali ya chini lazima msiba utazikwa na manispaa.

Naiomba serikali kuliangalia kwa mapana yake na nashauri iweke ruziku katika hosipitali za rufaa zote nchini ili kushusha gharama hizo.

Kwakweli hali ni mbaya.
 
Kuna mambo ya ajabu sana huko mahospitali, wakati mwengine wanakuandikia dawa nyingi ukanunue lakini kumbe zinazohitajika ni chache tu na hizo zengine wanachukua wao na baadaye wanauza. Yani hawana huruma hata kidogo pamoja na gharama za matatibabu kuwa juu ila bado wanafanya michezo kama hiyo.
 
Mkuu tupo busy na ununuzi wa ndege masuala ya afya yasubiri May mosi ijayo.
Huku kufanya hawa viongozi waishi maisha ya kifahari sijui lengo lilikuwa ni lipi ila ubaya wake ndio huu wanaacha kutatatua shida zenye kugusa maisha ya watu moja kwa moja wao wanawaza mambo kama madege, halafu unakuta wengine wanajisifu kabisa et mimi mtoto wa masikini shida nazijua.
 
Mzanaki aliwapa tiba bure.
mlo bure .
shule bure.
Gumbaru bure
NH bure
Jkt bure.
Kazi bure
Gari za taka bure!!
University bure tena unalipwa juu!!
lkn Mlimkataa na kutaka kumuua na vitu mlivikataa!!!

Viwanda 8009 mliuza kifaa kimoja kimoja.mabomba mkakata hee! jamani tena bei poa.
Mutex.Sungura textile nk ilitia huruma!

Mkawa mnatupa panadol hivi!! mbele ya wauguzi.saaavu ilikuwa bure!! hivi mna akili kweli???

Au mzungu yuko sahihi! manyani kweli nyie...

Leo yamewafika shingoni. Mnatawaza kwa ndimi zenu Nasemana badooo! Mnastahili mtaenda wapi hata mmchague malaika wembe ndo huu!! Mlishajinyea wenye akili zao tuko majuu! Hatuji ng'ooo!!

pigeni kimya tuu!! Km hujui historia ya nchi yako piga kimya! usilaumu madaktari.

Hao wazazi wako. unaowauguza ndo walipinga sera za mchonga kawaulize vizuri na uwalaumu wao!!!

Tatizo mkiandikiwa dawa nzuri mkapona mapema kwa nusu dose. Zinazo baki mnaona madaktari walizitaka ili waziuze tena. yaaani miafrika ni shida sana.

Upewe jema shida. Unyimwe!! shida wakuache hapo huduma siyo nzuri.

Nyie hata shetani hawawezi....Mtamsumbua tu.siku hizi anatumia.Ebola,covid.cholera kuwapoteza.mwanzoni alitumia wachawi kuwapiga...bila matokeo mazuri.

Ok!! Dr akiziuza akala hiyo hela una umia nini? Si zime baki?

Unaona raha Gani akizitupa jalalani? Basi omba ukaziuze wewe!
Sijui huyo mgonjwa utampata wapi. Hadi akuamini.
Hamna jema kenge nyie....
 
Mkuu tupo busy na ununuzi wa ndege masuala ya afya yasubiri May mosi ijayo.
Pointless ,ndege lazima zinunuliwe na ufumbuzi wa tatizo la afya hapo Muhimbili na nchini kwa ujumla lipatiwe ufumbuzi
 
Poleaisee sisi tulipigwa bill ikabidi kuchangishana ukoo mzima.

Garama ziko juu sana serikali isikie hichikilio.
Kama hata kupima covid 19 ni biashara tutegemee nini kwa magonjwa mengine?
Majirani zetu kupima covid ni 20k Tanzania ni 230k.
 
Kama hata kupima covid 19 ni biashara tutegemee nini kwa magonjwa mengine?
Majirani zetu kupima covid ni 20k Tanzania ni 230k.
Huo ugonjwa mungu aupitishe mbalitu maana kwa hsliilivyo wengi wata shindwa kupima
 
Mzanaki aliwapa tiba bure.
mlo bure .
shule bure.
Gumbaru bure
NH bure
Jkt bure.
Kazi bure
Gari za taka bure!!
University bure tena unalipwa juu!!
lkn Mlimkataa na kutaka kumuua na vitu mlivikataa!!!

Viwanda 8009 mliuza kifaa kimoja kimoja.mabomba mkakata hee! jamani tena bei poa.
Mutex.Sungura textile nk ilitia huruma!

Mkawa mnatupa panadol hivi!! mbele ya wauguzi.saaavu ilikuwa bure!! hivi mna akili kweli???

Au mzungu yuko sahihi! manyani kweli nyie...

Leo yamewafika shingoni. Mnatawaza kwa ndimi zenu Nasemana badooo! Mnastahili mtaenda wapi hata mmchague malaika wembe ndo huu!! Mlishajinyea wenye akili zao tuko majuu! Hatuji ng'ooo!!

pigeni kimya tuu!! Km hujui historia ya nchi yako piga kimya! usilaumu madaktari.

Hao wazazi wako. unaowauguza ndo walipinga sera za mchonga kawaulize vizuri na uwalaumu wao!!!

Tatizo mkiandikiwa dawa nzuri mkapona mapema kwa nusu dose. Zinazo baki mnaona madaktari walizitaka ili waziuze tena. yaaani miafrika ni shida sana.

Upewe jema shida. Unyimwe!! shida wakuache hapo huduma siyo nzuri.

Nyie hata shetani hawawezi....Mtamsumbua tu.siku hizi anatumia.Ebola,covid.cholera kuwapoteza.mwanzoni alitumia wachawi kuwapiga...bila matokeo mazuri.

Ok!! Dr akiziuza akala hiyo hela una umia nini? Si zime baki?

Unaona raha Gani akizitupa jalalani? Basi omba ukaziuze wewe!
Sijui huyo mgonjwa utampata wapi. Hadi akuamini.
Hamna jema kenge nyie....
Uhuu ni ukweli ambao ni mchungu
 
Kuna mambo ya ajabu sana huko mahospitali, wakati mwengine wanakundikia dawa nyingi ukanunue lakini kumbe zinazohitajika ni chache tu na hizo zengine wanachukua wao na baadaye wanauza. Yani hawana utu huruma hata kidogo pamoja na gharama za matatibabu kuwa juu ila bado wanafanya michezo kama hiyo.

Nilitegemea ibilisi amenajisi uchaguzi ili nchi itawaliwe na ccm kwa shuruti, nikadhani mambo yatakuwa mazuri huko kwenye matibabu, kumbe lengo ilikuwa ni kuzuia kelele za wapinzani wasiseme huo uhuni ndani ya bunge.
 
Pointless ,ndege lazima zinunuliwe na ufumbuzi wa tatizo la afya hapo Muhimbili na nchini kwa ujumla lipatiwe ufumbuzi

Hatuna uchumi wa kutenda mambo yote kwa pamoja.Ebo hivi unafikiri maRais waliotangulia hawakuona au basi tu umeamua kujitoa ufahamu.
 
Ni kweli, kuna jamaa yangu alipata ajali ya gari gharama alizoniambia mwenyewe nilichoka, Muhimbili imekuwa kama private hospital, kwamba wamejitahidi kuboresha huduma ni nzuri lakini hizo gharama zake nina hakika zitawashinda wengi, bima ya afya ndio mkombozi.
 
Back
Top Bottom