Huku kufanya hawa viongozi waishi maisha ya kifahari sijui lengo lilikuwa ni lipi ila ubaya wake ndio huu wanaacha kutatatua shida zenye kugusa maisha ya watu moja kwa moja wao wanawaza mambo kama madege, halafu unakuta wengine wanajisifu kabisa et mimi mtoto wa masikini shida nazijua.Mkuu tupo busy na ununuzi wa ndege masuala ya afya yasubiri May mosi ijayo.
Mzanaki aliwapa tiba bure.
mlo bure .
shule bure...
Pointless ,ndege lazima zinunuliwe na ufumbuzi wa tatizo la afya hapo Muhimbili na nchini kwa ujumla lipatiwe ufumbuziMkuu tupo busy na ununuzi wa ndege masuala ya afya yasubiri May mosi ijayo.
Hapna watanzania mnaudhi sana. Hamueleweki mnataka nini. Mko km mitoto yatima.Mbona hasira namna hii ndugu!?
Kama hata kupima covid 19 ni biashara tutegemee nini kwa magonjwa mengine?Poleaisee sisi tulipigwa bill ikabidi kuchangishana ukoo mzima.
Garama ziko juu sana serikali isikie hichikilio.
Afya is not our priority in our country, tulia tumalize ndege kwanzaPointless ,ndege lazima zinunuliwe na ufumbuzi wa tatizo la afya hapo Muhimbili na nchini kwa ujumla lipatiwe ufumbuzi
Huo ugonjwa mungu aupitishe mbalitu maana kwa hsliilivyo wengi wata shindwa kupimaKama hata kupima covid 19 ni biashara tutegemee nini kwa magonjwa mengine?
Majirani zetu kupima covid ni 20k Tanzania ni 230k.
Uhuu ni ukweli ambao ni mchunguMzanaki aliwapa tiba bure.
mlo bure .
shule bure.
Gumbaru bure
NH bure
Jkt bure.
Kazi bure
Gari za taka bure!!
University bure tena unalipwa juu!!
lkn Mlimkataa na kutaka kumuua na vitu mlivikataa!!!
Viwanda 8009 mliuza kifaa kimoja kimoja.mabomba mkakata hee! jamani tena bei poa.
Mutex.Sungura textile nk ilitia huruma!
Mkawa mnatupa panadol hivi!! mbele ya wauguzi.saaavu ilikuwa bure!! hivi mna akili kweli???
Au mzungu yuko sahihi! manyani kweli nyie...
Leo yamewafika shingoni. Mnatawaza kwa ndimi zenu Nasemana badooo! Mnastahili mtaenda wapi hata mmchague malaika wembe ndo huu!! Mlishajinyea wenye akili zao tuko majuu! Hatuji ng'ooo!!
pigeni kimya tuu!! Km hujui historia ya nchi yako piga kimya! usilaumu madaktari.
Hao wazazi wako. unaowauguza ndo walipinga sera za mchonga kawaulize vizuri na uwalaumu wao!!!
Tatizo mkiandikiwa dawa nzuri mkapona mapema kwa nusu dose. Zinazo baki mnaona madaktari walizitaka ili waziuze tena. yaaani miafrika ni shida sana.
Upewe jema shida. Unyimwe!! shida wakuache hapo huduma siyo nzuri.
Nyie hata shetani hawawezi....Mtamsumbua tu.siku hizi anatumia.Ebola,covid.cholera kuwapoteza.mwanzoni alitumia wachawi kuwapiga...bila matokeo mazuri.
Ok!! Dr akiziuza akala hiyo hela una umia nini? Si zime baki?
Unaona raha Gani akizitupa jalalani? Basi omba ukaziuze wewe!
Sijui huyo mgonjwa utampata wapi. Hadi akuamini.
Hamna jema kenge nyie....
Kuna mambo ya ajabu sana huko mahospitali, wakati mwengine wanakundikia dawa nyingi ukanunue lakini kumbe zinazohitajika ni chache tu na hizo zengine wanachukua wao na baadaye wanauza. Yani hawana utu huruma hata kidogo pamoja na gharama za matatibabu kuwa juu ila bado wanafanya michezo kama hiyo.
Pointless ,ndege lazima zinunuliwe na ufumbuzi wa tatizo la afya hapo Muhimbili na nchini kwa ujumla lipatiwe ufumbuzi