Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

Sasa usiombee mgonjwa awe na cancer mziki wa ocean road + Muhimbili πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Sasa usiombee mgonjwa awe na cancer mziki wa ocean road + Muhimbili πŸ˜₯πŸ˜₯
Sisahau pale muhimbili nesi anatuambia mgonja wetu atakuwa na kansa ila bila kumpima halafu anatutengenezea mazingira ya kuanza clinic tena anatuambie tuwasiliane nae ili atupangie tarehe za karibu kwa maana hapo mazingira ya upigaji tumpe hela atupangie tarehe za karibu.
 
Hatar na Kama ana cancer watamuamishia ocean road mjipange tu vizuri vinginevyo mtakimbiana poleni Sana.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
Shekh punguza jazba kidogo.
 
Hatar na Kama ana cancer watamuamishia ocean road mjipange tu vizuri vinginevyo mtakimbiana poleni Sana.
Hata hakuwa na cancer ni basi tu yule nesi sijui ana masilahi na huko clinic basi ndio akatuambia hivyo ili twende huko clinic wakati hata Doctor pale hajasema tukachek cancer, yani tulienda pale kwa ajiri ya kipimo ambacho Hospitali ya Amana hawakuwa na hicho kipimo hivyo tukaandikiwa tuende Muhimbili, sasa kufika pale hawakutaka kumpima hicho kipimo wametuweka tu kuanzia mchana hadi jioni kisha ndio huyo nurse anatuita pembeni na kutuambia habari za kuwa mgonjwa wetu anaweza kuwa na kansa ndio akataka twende clinic.
 
Hapna watanzania mnaudhi sana. Hamueleweki mnataka nini. Mko km mitoto yatima.
Madaktari wanafanya kazi sana mpaka huruma.
Mitoto yatina haijui inataka nini siyo?
 
Mwenyezi Mungu atulinde sana dhidi ya magonjwa.... In Jesus Name
 
Mifano yako hata haiendani ndugu yangu kutembea na mke wangu ni kwamba wamekubaliana wenyewe hajambaka angembaka ingekuwa kesi ya kubaka, sasa unalinganisha vp jambo hilo la mke kuchepuka na kubaka halafu mtoto?
Hata uchaguzi tumekubaliana ndio njia ya kupata viongozi, lakini kuna wizi unatokea.
 
Hata uchaguzi tumekubaliana ndio njia ya kupata viongozi, lakini kuna wizi unatokea.
Sasa ndio useme na huo wizi mliukubali kwa sababu kuna kubalance, sie wengine hatukuukubali huo wizi ndio maana tuliacha kupiga kura kitambo tu.
 
Sasa ndio useme na huo wizi mliukubali kwa sababu kuna kubalance, sie wengine hatukuukubali huo wizi ndio maana tuliacha kupiga kura kitambo tu.

Ulipoacha kupiga kura kipi kilibadilika?
 
Aisee πŸ€”πŸ€”
 
Sasa usiombee mgonjwa awe na cancer mziki wa ocean road + Muhimbili πŸ˜₯πŸ˜₯
wee dada umerudi tena??? Gujiwe anakutafuta huko ahera!!

Hivi unajua hatuko nae tena??? Amekufi najua hujui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…