Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

Muulize mbunge MSUKUMA vyeti vina thamaan ip Tz
 
Mkuu inahitaji moyo zile kitu hatari! Very painful
Mkuu, nilipomaliza chuo niliajiriwa, ila nilitoka kwenye ajira kwa sababu nilijigundua kuwa mimi sio mtu wa kufuata maagizo(to follow orders, some very stupid orders) .
Huku mtaani kuna hitaji uvumilivu na akili kubwa kuliko kwenye ajira, nina furaha zaidi kujipangia mambo yangu na kujituma kadiri ya uwezo wangu wote.

Ninaona ni vizuri kujiwekea mwenyewe akiba ya uzeeni mapema kuliko kuwekewa na NSSF baadae wanakusumbua wakati wa kuzichukua..
 
Rekebisha fikra hii ya kwamba ukisoma zaidi hupaswi kupelekeshwa hivyo. Mtaani its all about business. And in business, its all about leverage.
Wewe ndo ulikuwa unashida zaidi ndio maana unapelekeshwa.
Kama ulisoma ukadhani hiyo ndo heshima kila mahali, inabidi utafakari upya kuhusu maisha.

Pili;
Hukutafiti soko kwamba wateja hupenda bidhaa yako ikiwa katika hali gani. Wateja hutaka wanachotaka. Hayo ya "wangejua kilimo kilivyo kigumu" haiwahusu. Maana na wao watahitajika kupeleka mzigo unaohitajika kwa wengine.

So lemme welcom you to life.
Make yourself at home.
 
Mteja anachojali kupata ni bidhaa bora. Shida zako za uzalishaji hazimuhusu mkuu, watu hawanunui kwa kukuonea huruma maana huwezi jua pengine na yeye anaenda kutumia katika biashara yake.

Hiyo ni biashara mkuu hivyo kama unaona watu wanakunyanyasa kutokana na ubora wa bidhaa yako bhasi jitahidi uiboreshe.
Ishi tu kama mtumwa ili uje kuishi kama mfalme.Usikate tamaa
 
Mkuu kwenye biashara inabidi ujifunze how to overcome the rejection. na inabidi ujue how to sell. biloa hivyo biashara itakushinda
 
  • Thanks
Reactions: amu
Asante mkuu! Inauma Sana ukikumbuka ulivyo pambana na mapindi kuokoa supplementary! Dah unakuja kukutana na manyanyaso na hata mtu definition ya sun hajui
Huwa sipendi dharau hata kidogo, nafanya biashara mtu akizingua na kuonyesha dharau mbele ya biashara yangu simuuzii, nishafanyaga sio mara moja na maisha yanasonga, I enjoy my respect.
 
Mkuu, nilipomaliza chuo niliajiriwa, ila nilitoka kwenye ajira kwa sababu nilijigundua kuwa mimi sio mtu wa kufuata maagizo(to follow orders, some very stupid orders) .
Huku mtaani kuna hitaji uvumilivu na akili kubwa kuliko kwenye ajira, nina furaha zaidi kujipangia mambo yangu na kujituma kadiri ya uwezo wangu wote.

Ninaona ni vizuri kujiwekea mwenyewe akiba ya uzeeni mapema kuliko kuwekewa na NSSF baadae wanakusumbua wakati wa kuzichukua..
Mkuu bila shaka ulikua na mtaji kiasi cha kujiajiri na sijui umejikita kwenye biashara gani?
 
Mteja anachojali kupata ni bidhaa bora. Shida zako za uzalishaji hazimuhusu mkuu, watu hawanunui kwa kukuonea huruma maana huwezi jua pengine na yeye anaenda kutumia katika biashara yake. Hiyo ni biashara mkuu hivyo kama unaona watu wanakunyanyasa kutokana na ubora wa bidhaa yako bhasi jitahidi uiboreshe.
Ishi tu kama mtumwa ili uje kuishi kama mfalme.Usikate tamaa
Mkuu bidhaa ilikua bora kabisa Sema ndo hivyo hali ya biashara
 
Elimu ya kukariri hizo definition wao wanajua ya sado
Wewe msomi umeshindwa kutafuta mtu akanunua gunia zako zote kwa jumla (wapo wengi)
Unauza rejareja daa kweli umejitakia kunyanyasika na elimu yako
 
Halafu nyie ndo hamtaki mabadiliko, ngoja na bado
 
Back
Top Bottom