wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Anaweza kuwa na cheti cha chuo (madrasa)nacho ni cheti mkubwa
Vyeti vyako Ni vya aina gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti vyako Ni vya aina gani mkuu
Mkuu kwa jumla Bei inashuka wanataka discount kubwa Sana Sasa nilikua na malengo flani ningefeli kakaElimu ya kukariri hizo definition wao wanajua ya sado
Wewe msomi umeshindwa kutafuta mtu akanunua gunia zako zote kwa jumla (wapo wengi)
Unauza rejareja daa kweli umejitakia kunyanyasika na elimu yako
Sometimes usijishushe sana, jipandishe kidogo, hata kama huwaonyeshi vyeti vyako ila kuna standard frani unatakiwa uwe. Ukiacha biashara huwa nalima pia madalali na pesa zao mbuzi mara nyingi nawatimuaga shambani na siwazi hata kidogo, usijitie unyonge unakuwa dhaifu, ndipo hapo unapohisi kuwa rejected but no one reject you than yourself.Hahah pole mkuu
Mkuu usilete siasa wengine hatuna vyama hapa!Halafu nyie ndo hamtaki mabadiliko, ngoja na bado
Nimeamini mkuu ukijishusha Sana unakua mnyonge halafu dah hapo ndo unakumbuka ulikopitiaSometimes usijishushe sana, jipandishe kidogo, hata kama huwaonyeshi vyeti vyako ila kuna standard frani unatakiwa uwe. Ukiacha biashara huwa nalima pia madalali na pesa zao mbuzi mara nyingi nawatimuaga shambani na siwazi hata kidogo, usijitie unyonge unakuwa dhaifu, ndipo hapo unapohisi kuwa rejected but no one reject you than yourself.
Ndo ivyo mkuu hakuna anaependa ajulikane lakini inategemea na mazingira fulani wakati mwingine inakubidi useme jinsi ulivyo ili upewe vyakomimi saivi nimeshaamua kuishi kama JASUSI mtaani sitaki mtu ajue elimu yangu kabisa nataka kila mtu anione kama muhuni fulani tu wa kitaa kioa mtu ashike hamsini zake mambo ya kuonesha elimu yako kwa wananzengo sitaki
Mkuu niliondoka kazini bila hata mia, niliondoka ki hasira sana, nilipata tabu sana, ila nilikuwa nimejiandaa kisaikolojia maana nilijua lazima nitateseka.Mkuu bila shaka ulikua na mtaji kiasi cha kujiajiri na sijui umejikita kwenye biashara gani?
Na hakuna kitu kibaya kama kuwa mnyonge unapoteza confidence kabisa na matokeo yake sio mazuri katika ustawi binafsi. Be strong bro. Anaekuzingua, unamzingua unapita hivi.Nimeamini mkuu ukijishusha Sana unakua mnyonge halafu dah hapo ndo unakumbuka ulikopitia
Hongera mkuu! Mimi ndio ndoto zangu hizo boss Sema saiv napita kwenye joto la jiwe biashara bado hazijaanyooka vizuri kiasi cha kuwaza kutafuta Kwanza kazi serikalini dah Mungu aniongoze katika hiliMkuu niliondoka kazini bila hata mia, niliondoka ki hasira sana, nilipata tabu sana, ila nilikuwa nimejiandaa kisaikolojia maana nilijua lazima nitateseka.
Nilifulia ikabidi mke wangu na mwanangu kipenzi Junior warudi kwao, nilianza kuendesha bajaji tena ya mtu, nilijiwekea malengo nikawa kila baada ya muda kadhaa nanunua bodaboda nampa mtu ananililetea malengo, baadae kikanunua bajaji yangu..
Bajaji zilivyofika kadhaa nikaacha kuendesha nikawa nadeal na service tu, nishaanza mpango wa kuingia kwenye real estate maana ndio target yangu, nafurahia maisha kuliko nilivyokuwa kwenye ajira.
Mkuu nipe izo kanuni japo 1 tu ili tuende Sawa bossWasomi wengi hujikuta wanaingia uchizi coz hawakupata walichokitarajia baada ya masomo yao,mtu akijiona ana elimu ya hadhi fulani basi anataka akiingia kitaani apewe heshima fulani kutokana na elimu yake,asipokipata alichokitarajia ,ndio uchizi na kukata tamaa huanzia hapo,ndio ile utasikia "Jamaa kasoma sana mpaka kawa chizi" au "Huyu wamemroga kwa elimu yake" kumbe mtu kajiroga yeye mwenyewe!
Kitaani kuna kanuni zake pia.
Mkuu soma comment za juu,wakuu wamesha zielezea.Mkuu nipe izo kanuni japo 1 tu ili tuende Sawa boss
Hizo nimezisoma boss Sema na wewe unadondosha madini yakoMkuu soma comment za juu,wakuu wamesha zielezea.
Kikubwa ni "Uvumilivu" mkuu,historia ya watu wengi waliofanikiwa,wamepitia shida nyingi sana,kuna waliokua mpaka wanalala barabarani,homeless,kitu muhimu ni kujituma,kua na maarifa pamoja na kua na malengo,kumuomba Mungu ni muhimu zaidi.Hizo nimezisoma boss Sema na wewe unadondosha madini yako
Ubarikiwe Sana mkuu nimekupata Sana lakini uhalisia ndio uko hivyoKikubwa ni "Uvumilivu" mkuu,historia ya watu wengi waliofanikiwa,wamepitia shida nyingi sana,kuna waliokua mpaka wanalala barabarani,homeless,kitu muhimu ni kujituma,kua na maarifa pamoja na kua na malengo,kumuomba Mungu ni muhimu zaidi.
Msomi angefanya hivi.....Mkuu sijui kuitumia kwa vipi?
"Tunalipwa kutokana na tunachofanya (product) si Tunachojua"...'mtu hulipwa kutokana na anachofanya anachojua'
mkuu unataka kusema kweli kabisa ulishindwa cha kufanya!? daah pole sanaMwingine nikajichanganya kumuachia debe mbili 1 alilipa 1 akasema Adi badae dah naenda badae namkuta binti yake eti yeye amesafiri atarudi Kesho nilichoka Sana nikawaza aisee mbona hali huku mtaani iko hivi?