Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

Hivi ni skanska maeneo gani pale au hiyo sehemu inaitwaje huwa naiskia tu kuna siku nilienda pale nikafika ile shel ya oilcom nikashuka na ile barabara sikuona dalili ya hiyo mdudu, sasa nipe ramani ni sehem gani nikishuka pale skanska
 
kwa style hii, ni dhahiri shahiri Yanga anashinda 2-0 huko kwa madiba 🐒

maana mamelodi anatamanisha balaa 🐒
 
Ukuu wa Mungu ukuangazie pande zote.

Mnyama huyu ana heshima ya kipekee
 
dah kanusu na ndizi moja mzee unatania kula nyama au ndio uwezo umeishia hapo....

noah unaipiga kilo ndizi nne coke ya baridiiiiii na gmalt alafu unashushia na mjani wa bob maeneo uliotulia
 
Hivi ni skanska maeneo gani pale au hiyo sehemu inaitwaje huwa naiskia tu kuna siku nilienda pale nikafika ile shel ya oilcom nikashuka na ile barabara sikuona dalili ya hiyo mdudu, sasa nipe ramani ni sehem gani nikishuka pale skanska
Lazima kwa Anold hapa. Pale oil com ingia na ile barabara ya lami inayoenda IPTL kama mita 400 hivi upande wako wa kulia utaona sehemu. Unadhani hata pa maana basi? Pako pako tu ila wale wachoma nyama ni nyoko
 
Naam!

Mbuzi wa Vatican hanaga mpinzani huyu mwamba 😋😋😋

Afu hii kitu hamu yake ni irreplaceble, yani hata ule nini hamu ya kitimoto haikatwi na kitu chochote kile....
yaan acha tu hapa akili inanambia its either mawasiliano park au jeshini au micasa vinginevyo sitoboi😂😂
 
Hivi ni skanska maeneo gani pale au hiyo sehemu inaitwaje huwa naiskia tu kuna siku nilienda pale nikafika ile shel ya oilcom nikashuka na ile barabara sikuona dalili ya hiyo mdudu, sasa nipe ramani ni sehem gani nikishuka pale skanska
Akikujibu usisite kunitag😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…