MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Nimepata kisingizio rasmi cha kwenda kutafuna mdudu jioni hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa umekula hata Figo,siutakuwa umesha tutia hasara☺️Wadau hamjamboni nyote
Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala
Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu
Gharama zake za kutisha
Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu
Niwatakie mchana mwema wakuu.
View attachment 2954650
Sasa hao viumbe wameongezeka thamani acheni kuwala watawaokoeni mahali,hamta uziwa tena Figo 30mln🤔Afu hii kitu hamu yake ni irreplaceble, yani hata ule nini hamu ya kitimoto haikatwi na kitu chochote kile....
Hawaishi hao....akizaa tu anazaa 10+ yani huyu kabarikiwa hadi sii poa kabarikiwa utamu kabarikiwa uzazi......Sasa hao viumbe wameongezeka thamani acheni kuwala watawaokoeni mahali,hamta uziwa tena Figo 30mln🤔
Chukua boda mwambie akupeleke kwa Arnold, ni kama mita mia tatu kutoka hapo kituo cha mafuta.Hivi ni skanska maeneo gani pale au hiyo sehemu inaitwaje huwa naiskia tu kuna siku nilienda pale nikafika ile shel ya oilcom nikashuka na ile barabara sikuona dalili ya hiyo mdudu, sasa nipe ramani ni sehem gani nikishuka pale skanska
Lete namba nikurushienilikua nshasema af kumi yangu napeleka kikoba ushanitia hamu looo[emoji1786][emoji1786]