Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

Nimepata kisingizio rasmi cha kwenda kutafuna mdudu jioni hii
 
Wewe lazima uwe na mashara mingi mingi saaana🤣
 
Afu hii kitu hamu yake ni irreplaceble, yani hata ule nini hamu ya kitimoto haikatwi na kitu chochote kile....
Sasa hao viumbe wameongezeka thamani acheni kuwala watawaokoeni mahali,hamta uziwa tena Figo 30mln🤔
 
Sasa hao viumbe wameongezeka thamani acheni kuwala watawaokoeni mahali,hamta uziwa tena Figo 30mln🤔
Hawaishi hao....akizaa tu anazaa 10+ yani huyu kabarikiwa hadi sii poa kabarikiwa utamu kabarikiwa uzazi......
 
Hivi ni skanska maeneo gani pale au hiyo sehemu inaitwaje huwa naiskia tu kuna siku nilienda pale nikafika ile shel ya oilcom nikashuka na ile barabara sikuona dalili ya hiyo mdudu, sasa nipe ramani ni sehem gani nikishuka pale skanska
Chukua boda mwambie akupeleke kwa Arnold, ni kama mita mia tatu kutoka hapo kituo cha mafuta.
 
Unakuwa unaelekea iptl Mkuu ni mkono wa kulia ila pametulia sana kwani makazi sio mengi no mitaa ya washua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…