Niliyoshuhudia Kariakoo

Kama hawakuliboresha lirakuja kuleta msiba
 
Kweli kabisa.
Kuongezea underground structure ni hatari sana kwa ghorofa lililokamilika
 
Swali la kujiuliza ??je wamejifunzaaa

Maana hawa huwa hawajifunzi

Ova
Kinachochekesha hapa kwenye maumivu makali haya ni kwamba sisi wananchi tunajitoa kabisa as of sio part and parcel ya haya matokeo!

Wanunuzi + wajenzi + wafanyakazi wa huko kariakoo ni sisi hapa wananchi na washiriki wakubwa wa upindishaji sheria + wavukaji wakubwa wa mipaka, haswa tukiwa na uhakika wa connection ama kujuana na “wakubwa”.

We are all to blame, sio viongozi, wanasiasa wala wananchi…. Wote ni mkato wa kitambaa kimoja.
 
Upo sahii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…