Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Hawajifunzi...Swali la kujiuliza ??je wamejifunzaaa
Maana hawa huwa hawajifunzi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajifunzi...Swali la kujiuliza ??je wamejifunzaaa
Maana hawa huwa hawajifunzi
Ova
Kama hawakuliboresha lirakuja kuleta msibaSiyo nchi hii,kwa anayekumbuka mwaka 2012 hapa Kariakoo kati ya mtaa wa Mafia na Swahili kuna jengo la floor 8 lipo kulia kama unaingia sokoni Kariakoo wakati likiwa ktk hatua za mwisho za ujenzi lilipata crack likiwa limesimama lenyewe ilikuwa siku ya jumapili wala hakukuwa na mafundi.
Nakumbuka alikuja mkuu wa mkoa kipindi hicho akaamuru libomolewe ila kilichofanyika ujenzi ulisimama baada ya miaka miwili ukaendelea napoandika hapa limeshajaa frame zote mpaka za 2nd floor zimejaa nadhani kinachosaidia juu hakuna wapangaji,Waafrika sisi kinatulinda Mungu na mizimu tu huko serikalini hamna kitu.
Umeonaee!! wabunifu wapewe Maua Yao!Mpeni Nifa maua yake.
Hata kwa akili zake aliwaza sana.
Pole Kwa kusumbuliwa dadangu!!Uwiiiiiiiii Mungu wangu jamani!
Kweli kabisa.Muhimu zaidi pasiruhusiwe ujenzi chini ya ghorofa ambalo tayari limejengwa, limekamilika na linatumika.
Hiyo ni hatari na ndiyo chanzo cha maafa ya kariakoo.
Vinginevyo majengo mengine yote kariakoo ni imara na ni salama hasa yaliyojengwa miaka 1950's🐒
Dah 😅 😅uyo shetani unayemzungumzia ndo ccm mwenyewe
Kwa fundi maiko hamna kinachoshindikana hata ukitaka nyumba ielee kama puto.Kweli kabisa.
Kuongezea underground structure ni hatari sana kwa ghorofa lililokamilika
Lakini mwisho huwa ni jangaKwa fundi maiko hamna kinachoshindikana hata ukitaka nyumba ielee kama puto.
Kuna wadau kibao humu huwa wanawatafuta hao mafundi maiko wa bei chee kwenye majengo yao.
Watu wanatoa makafara!Janga la K/Koo linaumiza sana, bado najiuliza walio chini ya kifusi bado wako hai?
Kinachochekesha hapa kwenye maumivu makali haya ni kwamba sisi wananchi tunajitoa kabisa as of sio part and parcel ya haya matokeo!Swali la kujiuliza ??je wamejifunzaaa
Maana hawa huwa hawajifunzi
Ova
Upo sahiiKinachochekesha hapa kwenye maumivu makali haya ni kwamba sisi wananchi tunajitoa kabisa as of sio part and parcel ya haya matokeo!
Wanunuzi + wajenzi + wafanyakazi wa huko kariakoo ni sisi hapa wananchi na washiriki wakubwa wa upindishaji sheria + wavukaji wakubwa wa mipaka, haswa tukiwa na uhakika wa connection ama kujuana na “wakubwa”.
We are all to blame, sio viongozi, wanasiasa wala wananchi…. Wote ni mkato wa kitambaa kimoja.
Mdogo wangu Kigali Kuna fursa....jichanganyeUwiiiiiiiii Mungu wangu jamani!