Niliyoshuhudia Kariakoo

Niliyoshuhudia Kariakoo

Siyo nchi hii,kwa anayekumbuka mwaka 2012 hapa Kariakoo kati ya mtaa wa Mafia na Swahili kuna jengo la floor 8 lipo kulia kama unaingia sokoni Kariakoo wakati likiwa ktk hatua za mwisho za ujenzi lilipata crack likiwa limesimama lenyewe ilikuwa siku ya jumapili wala hakukuwa na mafundi.

Nakumbuka alikuja mkuu wa mkoa kipindi hicho akaamuru libomolewe ila kilichofanyika ujenzi ulisimama baada ya miaka miwili ukaendelea napoandika hapa limeshajaa frame zote mpaka za 2nd floor zimejaa nadhani kinachosaidia juu hakuna wapangaji,Waafrika sisi kinatulinda Mungu na mizimu tu huko serikalini hamna kitu.
Kama hawakuliboresha lirakuja kuleta msiba
 
Muhimu zaidi pasiruhusiwe ujenzi chini ya ghorofa ambalo tayari limejengwa, limekamilika na linatumika.

Hiyo ni hatari na ndiyo chanzo cha maafa ya kariakoo.

Vinginevyo majengo mengine yote kariakoo ni imara na ni salama hasa yaliyojengwa miaka 1950's🐒
Kweli kabisa.
Kuongezea underground structure ni hatari sana kwa ghorofa lililokamilika
 
Swali la kujiuliza ??je wamejifunzaaa

Maana hawa huwa hawajifunzi

Ova
Kinachochekesha hapa kwenye maumivu makali haya ni kwamba sisi wananchi tunajitoa kabisa as of sio part and parcel ya haya matokeo!

Wanunuzi + wajenzi + wafanyakazi wa huko kariakoo ni sisi hapa wananchi na washiriki wakubwa wa upindishaji sheria + wavukaji wakubwa wa mipaka, haswa tukiwa na uhakika wa connection ama kujuana na “wakubwa”.

We are all to blame, sio viongozi, wanasiasa wala wananchi…. Wote ni mkato wa kitambaa kimoja.
 
Upo sahii
 
Back
Top Bottom