Niliyoyanena kuhusu watu X na Y yametimi.

Mtusaidie kutuelewesha sisi tusiochanga na hatuamini kwamba kulikuwa na dhamira ovu.

Wahusuika hii ni shutuma na lazima ijibiwe kwa hoja majibu ya matusi na kebechi haviwezi jenga imani kwa wakati ujao.
 
Kama hukuwa muandaaji Umejuaje kama hakuchanga hata ndururu!?
Jamaa amewakurupusha mnakimbia na taulo!
Bwakyakyahaahhahhahh
Nilikuwa muweka hazina ya fedha kwenye kamati ya hiyo part jamaa Jina lake hakuna na fikili umenielewa sasa.
 
Endeleeni na majungu +Masufuria =part ilifana hakuna mfano 😄😄😄
 
Naona unatupia za harusi ili kuua soo!
Bwakyakyakyahahaa
🤣🤣🤣🤣Kwenye hizo picha umeona bwana harusi na bibi harusi pole kwa kutofika watu Wali kula na kusaza pia walikunywa na kukimbia pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…