little finger
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 394
- 997
Kosa la mtoa mada ni kusema ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa muweka hazina ya fedha kwenye kamati ya hiyo part jamaa Jina lake hakuna na fikili umenielewa sasa.Kama hukuwa muandaaji Umejuaje kama hakuchanga hata ndururu!?
Jamaa amewakurupusha mnakimbia na taulo!
Bwakyakyahaahhahhahh
Tupia picha za ukumbi ilikofanyika patyNilikuwa muweka hazina ya fedha kwenye kamati ya hiyo part jamaa Jina lake hakuna na fikili umenielewa sasa.
Tupia picha za ukumbi ilikofanyika paty
Naona unatupia za harusi ili kuua soo!
🤣🤣🤣🤣Kwenye hizo picha umeona bwana harusi na bibi harusi pole kwa kutofika watu Wali kula na kusaza pia walikunywa na kukimbia pombe.Naona unatupia za harusi ili kuua soo!
Bwakyakyakyahahaa
Pombe tena!🤣🤣🤣🤣Kwenye hizo picha umeona bwana harusi na bibi harusi pole kwa kutofika watu Wali kula na kusaza pia walikunywa na kukimbia pombe.
HahaaNadhani aibu unayoiongelea inahusu kufeli kwa paty!!
Naona umetaharuki Kwani na wewe ulikuwa kwenye kamati ya kuchangisha pesa!?
Ilifanyika mkuuKwahiyo party ilifeli?!
Wamekufanyaje?Wanaume wa siku hizi..
Aisee.Bhaaana weeee Sikia nikuambie Bro Baba ako alikutafutia sponsorship ukasome ulaya Na wewe ulitafuta sponsor wakukufundisha umalaya ,umbea,ujinga