Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Hakuna njia iliyo salama kwa 100%, kwasababu sio jambo rasmi kuita au kuzungumza na roho za giza
Kama mtu Hana mtu sahihi au mentor Wala asisumbuke kabisa, utajaribu vitu vingi Ili kupata njia yenye faida kidogo lakini Kila moja hukuachia kovu au doa la ubaya.
 
Spirit inategemea na uzito uliyo nayo, spirit kukugeuka ni kukuweka mateka . Nakueleza hivi nimeona spirit nyingi sana, na kuna majira nilisha shuka hadi chini ya bahari.. chini kabisa nikaona some spirits
Tupe story kidogo..maana hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo
 
Kama mtu Hana mtu sahihi au mentor Wala asisumbuke kabisa, utajaribu vitu vingi Ili kupata njia yenye faida kidogo lakini Kila moja hukuachia kovu au doa la ubaya.
Sahihi kabisa, mimi nilitumia zaidi ya mwaka kuchunguza na kusoma taratibu za mchezo huu. Sio jambo la kukurupuka
 
Tupe story kidogo..maana hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo
Mkuu haya mambo rahisi sana, fanya mazoezi ya kuipa roho yako nguvu dhidi ya mwili wako wako.. ili nafsi yako iwe subjexted kwenye roho ili iwe rahisi ku switch from physical to spiritual world.. mazoezi ya kiroho ni mengi kikubwa nidhamu ya hali ya juu inahitajiaka
 
Mkuu baharini ulienda kivipi, fafanua kdg
Baharini nimeenda mala mbili, but lazima uwe na roho itayokutangulia kufungua portal , maana bahari kama bahari ina ulimwengu wake... lazima uwe na roho ambayo inafahamu protocal zote za ulimwengu wa bahari, ikushike mkono ndio uingie bila hivyo hurudi
 
Huko baharini ulifuata nini? Au ulienda kwa lengo gani
 
Back
Top Bottom