Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Spirit inategemea na uzito uliyo nayo, spirit kukugeuka ni kukuweka mateka . Nakueleza hivi nimeona spirit nyingi sana, na kuna majira nilisha shuka hadi chini ya bahari.. chini kabisa nikaona some spirits
man!! how 🤔🤔
 
Kitafute hicho kitabu , naona vile kama una maswali kuhusu dunia ya pili , ni cha mjerumani flani Gustav kitakupa "ufunguo" flani hivi kama unanielewa
Nitajaribu kuangalia kama kipo kwenye website ya PDF DRIVE
 
Baharini nimeenda mala mbili, but lazima uwe na roho itayokutangulia kufungua portal , maana bahari kama bahari ina ulimwengu wake... lazima uwe na roho ambayo inafahamu protocal zote za ulimwengu wa bahari, ikushike mkono ndio uingie bila hivyo hurudi
eeh
 
u
kuna spirit ilinichukua na kunipeleka.. huwezi ingia kwenye ulimwengu usio wako bila ataekutambulisha kwenye huo ulimwengu
naweza kudadavua zaidi ulianzaje,had kufikia hapo ulipo ulipitia mambo gani au sehem zipi? vipi kuhush manufaa kuna faida yoyote umepata kiuhalisia?
 
Hii Ouja ni hatari mm nilisummon akaja Roho mmoja tukawa tunaongea nikamuuliza una umri gani akaniambia miaka mia nne nikamuuliza naomba nikuulize historia ya miaka hiyo akanipa sharti mmoja akaniambia niende chooni nipake yale maji ya choo mwili mzima ndio atanisimulia nikamuambia hakuna njia nyingine akasema unaona uchafu nikamwambia siwezi akanisonya nikamcomand kwa sauti ya mamlaka ya juu ile sauti kali huku nikimwambia maneno yafuatayo ya kishetani Zay Zay Zay Laa Hassh alitoka baruti huyo kwa maaana hayo maneno yana nguvu alisema unataka kuniunguza wakati mm sio mbaya ni mtu poa akakimbia
Oh😪😪
 
Hizi siri usiziweke wazi hivi hivi , ila katafute kitabu cha "spirits of the deep" kama unataka kiumbe aje ana kwa ana , ina taratibu nzuri tu sema lazima uwe na roho ngumu sana , kiumbe huyo hataki uonyeshe uoga hata kidogo .
hahaha inataka roho thabiti na ngumu
 
Weeeh 😹😹😹
Mpe hi sana
A wife & husband visited a farm, they saw a bull making love with a cow. The wife asked the farm manager:

"How many times does a bull do this per day?"

Manager replied: "6 times or more a day".

Wife: looks at her husband and said....."you see!!!"

Then the husband asked the manager: "You mean 6 times a day with the same cow?"

Manager said " No, No, with different cows everyday."

Husband looks to his wife and says ..."you see!!!"

And they started fighting!!!

Who caused the fight??? 😂😂😂
 
Tabia hazihusiani na haya mambo, ila unaweza kuingiwa na jini ukawa unapandisha mapepo kama wale watoto wa shuleni
Basi basi hayo mambo siyataki tena mimi. Kwa hiyo na wewe tayari una mapepo !?
 
Back
Top Bottom