Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Ukikaa katika circle of magic hawezi kukudhuru halafu hayo maneno yana nguvu hata angetokea Shetan mkuu Lusifa au Belzebul hakudhuru ukiwa katika magic circle
Story kidogo mkuu. Kuna kitu nataka nidodose kichele.

Hallelujah!!!
 
Alivosema ali mcomand kwa Sauti ya "Mamlaka za Juu" nikajua kataja kwa Jina la Yesu Tokaaaa, kumbe kuna sauti za mamlaka za juu nyingine Zay Zay Zay ambayo pia ilimuunguza huyo kiumbe.......🤣🤣🤣
Hayo ni maneno ya kishetani hayo Zay Zay Zay Sal Sal Sal La Ash ukiyasema na ukiwa na nia thabiti bila ya uoga hata Lusifa Rocofogal anakutii ukiwa katika duara la kichawi
 
Hizi siri usiziweke wazi hivi hivi , ila katafute kitabu cha "spirits of the deep" kama unataka kiumbe aje ana kwa ana , ina taratibu nzuri tu sema lazima uwe na roho ngumu sana , kiumbe huyo hataki uonyeshe uoga hata kidogo .
 
Kwa sasa napumzika kdgo na haya mambo, ila bado naendelea kufanya tafiti kadhaa.
 
Back
Top Bottom