Mbaya zaidi huyo kiumbe ana uwezo wa kujua nafsini mwako unawaza nini anakujua kuliko wewe kumjua yeye.Hao viumbe hawatabiriki, unaweza kudhani ni mzuri ila ghafla akakugeuka
Sahihi kabisa, wana uwezo mkubwa wa giza kuliko sisiMbaya zaidi huyo kiumbe ana uwezo wa kujua nafsini mwako unawaza nini anakujua kuliko wewe kumjua yeye.
Ni hatari kuita hivo vitu
Spirit inategemea na uzito uliyo nayo, spirit kukugeuka ni kukuweka mateka . Nakueleza hivi nimeona spirit nyingi sana, na kuna majira nilisha shuka hadi chini ya bahari.. chini kabisa nikaona some spiritsHao viumbe hawatabiriki, unaweza kudhani ni mzuri ila ghafla akakugeuka
Nani anavuta Bangi?Mnavuta mabangi yenu mnaona maruwe ruwe mnasema ni maroho yaliyokufa
Kama mtu Hana mtu sahihi au mentor Wala asisumbuke kabisa, utajaribu vitu vingi Ili kupata njia yenye faida kidogo lakini Kila moja hukuachia kovu au doa la ubaya.Hakuna njia iliyo salama kwa 100%, kwasababu sio jambo rasmi kuita au kuzungumza na roho za giza
Tupe story kidogo..maana hii dunia ni zaidi ya tuijuavyoSpirit inategemea na uzito uliyo nayo, spirit kukugeuka ni kukuweka mateka . Nakueleza hivi nimeona spirit nyingi sana, na kuna majira nilisha shuka hadi chini ya bahari.. chini kabisa nikaona some spirits
Sahihi kabisa, mimi nilitumia zaidi ya mwaka kuchunguza na kusoma taratibu za mchezo huu. Sio jambo la kukurupukaKama mtu Hana mtu sahihi au mentor Wala asisumbuke kabisa, utajaribu vitu vingi Ili kupata njia yenye faida kidogo lakini Kila moja hukuachia kovu au doa la ubaya.
Mkuu haya mambo rahisi sana, fanya mazoezi ya kuipa roho yako nguvu dhidi ya mwili wako wako.. ili nafsi yako iwe subjexted kwenye roho ili iwe rahisi ku switch from physical to spiritual world.. mazoezi ya kiroho ni mengi kikubwa nidhamu ya hali ya juu inahitajiakaTupe story kidogo..maana hii dunia ni zaidi ya tuijuavyo
Mkuu baharini ulienda kivipi, fafanua kdgSpirit inategemea na uzito uliyo nayo, spirit kukugeuka ni kukuweka mateka . Nakueleza hivi nimeona spirit nyingi sana, na kuna majira nilisha shuka hadi chini ya bahari.. chini kabisa nikaona some spirits
Kama hauvuti basi unavutishwaNani anavuta Bangi?
Sawa Mkuu, huenda kuna majini yananivutisha Bangi bila kujuaKama hauvuti basi unavutishwa
Baharini nimeenda mala mbili, but lazima uwe na roho itayokutangulia kufungua portal , maana bahari kama bahari ina ulimwengu wake... lazima uwe na roho ambayo inafahamu protocal zote za ulimwengu wa bahari, ikushike mkono ndio uingie bila hivyo hurudiMkuu baharini ulienda kivipi, fafanua kdg
Nimekumiss sana.😹😹😹 itakuwa aiseee.!!
Leo usiku kazi unayo, nani alikutuma usome 😂
Huko baharini ulifuata nini? Au ulienda kwa lengo ganiBaharini nimeenda mala mbili, but lazima uwe na roho itayokutangulia kufungua portal , maana bahari kama bahari ina ulimwengu wake... lazima uwe na roho ambayo inafahamu protocal zote za ulimwengu wa bahari, ikushike mkono ndio uingie bila hivyo hurudi
Nkiskia tu upepo ntahisi hao wamekuja🤭Leo usiku kazi unayo, nani alikutuma usome 😂
Ukikaa katika circle of magic hawezi kukudhuru halafu hayo maneno yana nguvu hata angetokea Shetan mkuu Lusifa au Belzebul hakudhuru ukiwa katika magic circle😹😹😹 Ulimkuta mzee angekuwa kijana angekuwasha kofi, hiyo Zay ingekuwa Zuchu
Leo nenda Kalale kwa jirani, la sivyo hautopata usingizi kabisaNkiskia tu upepo ntahisi hao wamekuja🤭