Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

What is ideomotor effect?
The ideomotor effect is a psychological phenomenon wherein a subject makes motions unconsciously. As in reflexive responses to pain, the body sometimes reacts reflexively to ideas alone without the person consciously deciding to take action. psychology.fandom.com

Watafiti wengi wanaamini many Ouija boards works under that principal, ingawa zipo boards like any other demonic objects zina demonic spells which makes the effect real.
 
Sawa iblis fungua darasa tuanze kuattend, mimi nataka sana kujua yote hayo.!!
Uanze kujifunza mpk pale ktk mind barrier kwanza ukienda pupa unaweza develop shizophrrnia ikawq hatari inabidi uende hatua kwa hatua nitakupa vitabu vya mind na spirit then ukikomaaa unakuja kivuka mind barrier hapo itakuwa upo juu ambapo hata kurogwq hutoweza
 
The ideomotor effect is a psychological phenomenon wherein a subject makes motions unconsciously. As in reflexive responses to pain, the body sometimes reacts reflexively to ideas alone without the person consciously deciding to take action. psychology.fandom.com

Watafiti wengi wanaamini many Ouija boards works under that principal, ingawa zipo boards like any other demonic objects zina demonic spells which makes the effect real.
The effects was real, niliona kabisa pointer ikizunguka yenyewe bila mimi kuigusa
 
Mimi nilianza mwaka 2012 nilipomaliza form 6 takriban miaka 8 au 9 alini inspire baba angu mdogo alikuwa ananipa vitabu vya spirit na mind sana mwisho unajiongoza
 
😂😂😂😂Hamna Yani ukitumia nilotumia mimi ni ya kuitwa majini ya kiroho kiujumla.
Ila ukisoma mara 71 ikafika masiku meupe ya mwezi wa kiarabu ambayo ni tarehe 13,14 na 15 basi ni siku ya wao kuwatembelea watu waliowachagua na waliowapenda.
Na mimi nilifatwa siku ya 14 ya mwezi wa kiarabu.
Luckily akati nasoma nilisoma chumba cha kuswalia ambapo nilipitiwa usingizi humo humo.
Maana ingekua chumbani napolala wife sijui angenifanyaje maana ni mbabe 😂😂😂😂😂.
ndio maana mimi napata ukakasi na mambo ya dini
ukiangalia uislam closely related na majini. ukija ukristo ni full utapeli na janjajanja.
 
Uanze kujifunza mpk pale ktk mind barrier kwanza ukienda pupa unaweza develop shizophrrnia ikawq hatari inabidi uende hatua kwa hatua nitakupa vitabu vya mind na spirit then ukikomaaa unakuja kivuka mind barrier hapo itakuwa upo juu ambapo hata kurogwq hutoweza
Hayo ndio maneno sasa nitumie vitabu hivyo Iblis 😍😍
 
ndio maana mimi napata ukakasi na mambo ya dini
ukiangalia uislam closely related na majini. ukija ukristo ni full utapeli na janjajanja.
Hamna mkuu.
Uislam una siri na kuna maandiko yamekatazwa ila siye binadamu tunalazimisha mambo bimaana ni sawa tunakufuru.
Maana Uislam umekataza kushirikiana na majini ila Sie tunalazimisha.
 
Mkuu naomba maelezo kdogo...madhara ya picha....shukran
Roho za giza wana maumbile ambayo siyo rahisi kuonekana na wanapenda kuingia au kuvaa uhusika wa kitu chochote chenye umbo au picha ya mtu, au vinyago.

Picha inaweza kuwa kivutio kwake pale ambapo atashindwa kumvaa mtu halisi, hivyo wanatumia picha na midoli kama mbadala wa mwili halisi

Kumbuka hawa viumbe wanapenda kukaa kwenye miili ya watu ili kujinufaisha kwa emotions Kama hasira, chuki, shame au gulit. Hupenda kukaa kwa watu wenye hisia hizi mara kwa mara
 
Najua. Ndio maana nikakwambia, kwa vile uliwasha mshumaa kukawa na moshi, alivutiwa na moshi akaja, wewe hukumuona ila ulihisi uwepo wake. Kioo kingekufanya umuone.
Mimi nilitaka kutambua uwepo wake tu, na ule upepo ulitosha kujua kwamba amefika
 
Roho za giza wana maumbile ambayo siyo rahisi kuonekana na wanapenda kuingia au kuvaa uhusika wa kitu chochote chenye umbo au picha ya mtu, au vinyago.

Picha inaweza kuwa kivutio kwake pale ambapo atashindwa kumvaa mtu halisi, hivyo wanatumia picha na midoli kama mbadala wa mwili halisi

Kumbuka hawa viumbe wanapenda kukaa kwenye miili ya watu ili kujinufaisha kwa emotions Kama hasira, chuki, shame au gulit. Hupenda kukaa kwa watu wenye hisia hizi mara kwa mara
So tunaopenda kuweka picha ukutani ni hatari?
 
Ili ujue haya inabidi upite njia za kujifunza ambazo zitajusaidia ukifika ktk rank ya mwisho ambapo utakutana na light na sound ambapo kabla ya kufika hapo unatakiwa uvuke Mind barrier ambapo ktk brain barrier ndio utakuta mambo manne
Mwili
Emotional
Spiritual
Mind
Mind barrier
Light and sound
Universal
Wengi wanaishia katika mind hawavuki
Acha uongo
 
  • Kicheko
Reactions: 511
So tunaopenda kuweka picha ukutani ni hatari?
Ni hatari, picha huvuta negative Energy ambayo huvutia viumbe wabaya kuja, pia inafukuza au kuzuia Positive Energy ambayo huvutia viumbe wazuri kama Malaika
 
Back
Top Bottom