Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Mungu ni mwema hakika, nimeamka salama na fiti zaidi ya jana. Nileteeni jini la kike kutoka puerto rico, nilifanye mchepuko wa kudumu.

Hallelujah!!!
Mix fresh brest milk with fresh sperm milk, drink on earthquake nights and you will see your demon queen coming to you.
 
Mix fresh brest milk with fresh sperm milk, drink on earthquake nights and you will see your demon queen coming to you.
Kiruuuu!! Huu si mchanganyo kabisa wa buza kwa mpalange??? Wacha niipite kama sijaona kitu.

Hallelujah!!!
 
Kiruuuu!! Huu si mchanganyo kabisa wa buza kwa mpalange??? Wacha niipite kama sijaona kitu.

Hallelujah!!!
Mambo ya wazungu hayo, wanafanya hivyo sana tu, wanakunywa huo mchanganyiko bila hofu yoyote
 
Hayo ni maneno ya kishetani hayo Zay Zay Zay Sal Sal Sal La Ash ukiyasema na ukiwa na nia thabiti bila ya uoga hata Lusifa Rocofogal anakutii ukiwa katika duara la kichawi
Upo deep sana kwenye mambo hizi! Unawezaje kumsaidia mtu ambaye nyota yake imechukuliwa na kutumika sehem nyingine. Kuvunja huo muunganiko sio watu wanatajirika kwa nyota ya wengine na huku muhusika ukiwa mtu wa mateso...hasa hawa waarabu wamechukua nyota ya mtu ki fremason
 
Mungu ni mwema hakika, nimeamka salama na fiti zaidi ya jana. Nileteeni jini la kike kutoka puerto rico, nilifanye mchepuko wa kudumu.

Hallelujah!!!
Hahaha!

Kuna channel moja niliifuata You Tube wanajihusisha na paranormal activity.

Wana session yao kuomba kutumiwa vitu ambavyo vina aminika vina vina laana au vinaleta majanga mfano kama mdoli wa Annabelle.

Alitumiwa mzigo mmoja kutoka Haiti baada ya siku mbili aliutupa.
 
Short story kidogo, vp baada ya kugida huo mchanganyo kilicho fuata???

Hallelujah!!!
Kwanza hayo maneno wanaandika ukutani kwa kutumia damu ya pigπŸ–
Alafu hilo eneo hutumika kufanya ibada za kishetani pamoja na kuita roho za giza.

Pia kunakuwa na majakuzi kama yale ya kuogea, yanawekwa damu za pig na watu wanaingia na kuoga.
 
Hilo dubwasha silipendi hata kuliona, bora ingekuwa damu ya simba ningeenda kumuwinda ila sio hilo ngiri la kizungu.

Hallelujah!!!
 
Hilo dubwasha silipendi hata kuliona, bora ingekuwa damu ya simba ningeenda kumuwinda ila sio hilo ngiri la kizungu.

Hallelujah!!!
Wanatumia hiyo kwasababu ya Energy yake huwa chafu zaidi, unajua wanachofanya ni kujaribu kuasi kwa kiwango cha juu ili kufurahisha mashetani yao na kupata manufaa kutoka kwao.

Ukihitaji favor lazima na wewe uwe tayari kumuasi Mungu kwa kiwango cha juu zaidi
 
Wewe ni muongo unajitetea saaana, unajijua ni muongo
 
Wewe ni muongo unajitetea saaana, unajijua ni muongo
Unataka kutoa boriti ya jicho langu wakati ww jicho lako hutaki Kanisani kila jumapili mnafundishwa uongo mbona usemi ukiwa ww unapenda kusema kweli biblia imejaa uongo kila mahali mbona hujawahi kusema
 
Umeshawahi kumuona mtu mrefu mpaka mawinguni na ameachama mdomo wazi kama anacheka?

Au umeshawaona watu wana rangi ya kijivu?
Nielekeze sasa niwaone mimi hao ndio nawataka 😹😹😹
 
😹😹😹 Nipe namba zao mkuu, tena itapendeza km ukinipa za chairman wao nimrukie hewani..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…