Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Unataka kutoa boriti ya jicho langu wakati ww jicho lako hutaki Kanisani kila jumapili mnafundishwa uongo mbona usemi ukiwa ww unapenda kusema kweli biblia imejaa uongo kila mahali mbona hujawahi kusema
Naona unataka kuhalalisha uongo wako kwa vile wengine wanadanganya. Kwa hio umekubali wewe ni muongo?!
 
Nipe link mkuu nicheke
 
Naona unataka kuhalalisha uongo wako kwa vile wengine wanadanganya. Kwa hio umekubali wewe ni muongo?!
Biblia imejaa uwongo kama ww msema kweli mbona hujawahi kuwaambia kanisani kuwa kuna uwongo au uwongo wako upo kwa upande upande na kila jumapili unaenda kanisani kusikiliza habari za kutunga na hujawahi ongea
 
Itakuwaje umefanya occult na useme bibilia ina uwongo, hujui consecration ya vitu na huyo beelzebub au amaymon zinafanywa na bibilia bila hyo hupati usaidizi wa kumsubdue any of the principal kings wa kuzimu.
Nikiwa muislamu hivi hilo najua itakuwaje hujui ???
 
Habari nyingine za uwongo hata akili ya kawaida haikubali mfano Yesu kuzaliwa bila ya baba hii ni hadithi ya kutunga hakuna mtu anaeweza kuzaliwa bila ya baba hayupo kwa vyovyote vile Yesu atakuwa ana baba ake wa kibanadamu
 
Nielekeze sasa niwaone mimi hao ndio nawataka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Aah! Wewe!
Binafsi sifahamu namna gani ya kukutana nao isipokuwa ni matatizo tu yakanikutanisha nao!

Ila hutoweza kulala! Na utashikwa na kiwewe! Kuna vitu kwa maelezo havitoshelezi ila ukiviona kwa macho vinatisha.

Wale viumbe (majini) Mungu kuwaficha kwetu ana maana kubwa.

Mosi, maumbile yao yanatisha.

Pili, wanatoa harufu.
 
Hongera
 
Km wanatoa harufu basi mkuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nipe namba zao mkuu, tena itapendeza km ukinipa za chairman wao nimrukie hewani..!!
Hahaha! Una masihara wewe unanifurahisha sana!

Ngoja nizungumze na jamaa yangu amwambie kuna mtu anataka kujenga na wewe urafiki. Akikubali nitakufahamisha.
 
Hahaha! Una masihara wewe unanifurahisha sana!

Ngoja nizungumze na jamaa yangu amwambie kuna mtu anataka kujenga na wewe urafiki. Akikubali nitakufahamisha.
Liwe linanipa michongo ya pesa sasa.!!
Sio urafiki wa kutishana tyuu.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji81] kwaiyo hawa nukii marashi mazuri tena .
 
Km wanatoa harufu basi mkuu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Vumilia tu!

Kwa mara moja inakuwa!

Halafu wanapenda kutokea kwa mazingira ya kutisha.

Kama kawaida yako ni kutoka asubuhi sana unaweza ukashangaa siku umekutana na mtu ghafla kasimama barabarani. Sasa itategemea mwenyewe atataka akujie kwa umbile gani!
 
Sio wabakaji?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nijiandae kabisa usiniletee midude ikanipelekea moto bure..!!
 
Liwe linanipa michongo ya pesa sasa.!!
Sio urafiki wa kutishana tyuu.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Achana nao wale viumbe pesa zao zina masharti sana!

Chochote utakachoingia nao mkataba lazima ukilipie gharama.
 
Achana nao wale viumbe pesa zao zina masharti sana!

Chochote utakachoingia nao mkataba lazima ukilipie gharama.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น masharti gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ