Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Inaenda kwa season.Hiyo show ni live au
Sasa hivi kama siyo season ya 6 basi ya 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaenda kwa season.Hiyo show ni live au
😹😹😹 Si balaa zito hilo.!!Hahahaha!
Usiogope! Akifanya hivyo itakuwa kakupenda sasa! Na wakikupenda wale sahau mahusiano kabisa na binadamu wenzako.
Yaani hautoolewa!
🤣AlhamduliLlah.
Sijasomea ujinga.
Hii ninkali sana, sema yule mzee wa season one ndiyo namkubali zaidi. Ukicheki hii kitu production yake iko juu sana, lines mtangazaji ana ziongea mpangilio wa matukio ni top notch. Nasikia wamerevival kuna season 5 sasa hivi.Inaenda kwa season.
Sasa hivi kama siyo season ya 6 basi ya 5.
Harufu mbaya au ya manukatoAah! Wewe!
Binafsi sifahamu namna gani ya kukutana nao isipokuwa ni matatizo tu yakanikutanisha nao!
Ila hutoweza kulala! Na utashikwa na kiwewe! Kuna vitu kwa maelezo havitoshelezi ila ukiviona kwa macho vinatisha.
Wale viumbe (majini) Mungu kuwaficha kwetu ana maana kubwa.
Mosi, maumbile yao yanatisha.
Pili, wanatoa harufu.
Mkuu, dunia Ina mengi jaribu kutembea na utazidi kuona mengi. 😃Kuna andiko la uchawi lililochanganywa spell za uchawi wa BABELI na spell za codex of gigas.
Hilo niliambiwa Freemason ndio wanalitumia sana.Ila sharti lake gumu maana ukiisoma andiko zima mara 21 ni sawa umejitawaza kuwa mkuu wa kilinge.Ni spell ya nafsi chafu ambazo unaziondosha kwa kafara ya damu ya mtu.
Umekubali kuwa wewe ni muongo case closed! Eti unajua hadi lucifer anafananaje?... bwana weeeeeeeeBiblia imejaa uwongo kama ww msema kweli mbona hujawahi kuwaambia kanisani kuwa kuna uwongo au uwongo wako upo kwa upande upande na kila jumapili unaenda kanisani kusikiliza habari za kutunga na hujawahi ongea
Hilo andiko Mie ninalo mbona katika diary yangu!?Mkuu, dunia Ina mengi jaribu kutembea na utazidi kuona mengi. 😃
Kama anataka siku anialike kwake nimuitie😂😂😂😂😂😂.Ngoja nikuitie ndugu yangu Kosugi
Msaidie huyu bidada ili na yeye awaone kama wewe ulivyowaona kwenye yawmul beidh. 😂😂😂😂
Ila yeye anawataka wa hela tu!
Lamomy ni fala kweli wewe😂😂😂😂😂😂.Sio wabakaji?? 😹😹😹
Nijiandae kabisa usiniletee midude ikanipelekea moto bure..!!
Mkuu, usiku huwa tunalala Tena usingizi mzuri Sana ule usingizi wa amani na utulivu.Kumbe mna chama kabisa Huwa mnalala vizuri usiku?
Mkuu naomba unitumie pm hilo andiko kama hutajaliHilo andiko Mie ninalo mbona katika diary yangu!?
Sema nimeifungia hiyo diary maana hizo spell hazitakiwi kuonekana hovyo.
Naomba unitumie pm mkuuHilo andiko Mie ninalo mbona katika diary yangu!?
Sema nimeifungia hiyo diary maana hizo spell hazitakiwi kuonekana hovyo.
Mkuu, ni namna gani naweza kujiunga na hicho Chama chenu na je ni mambo yapi sintapaswa kuyafanya pindi nitakapokuwa mwanachama wenu, naomba kufahamu kama hutajaliMkuu, usiku huwa tunalala Tena usingizi mzuri Sana ule usingizi wa amani na utulivu.
japokuwa usiku kuanzia saa 7 hadi saa 10 ni usiku utulivu ambapo maombi yako kiroho husikika vyema, na maombi yako inapendeza uwe msafi kimwili, uwe msafi kiroho na uwe tayari kutumikia nguvu za roho, uvae nguo Safi, uvae nguo nyeusi au nyeupe ikiwa ni ishara za kiroho katika nadharia kupitia rangi.
uwashe mwangaza wa mashumaa ikiwa ni ishara ya Nuru, kuomba kiroho upate kuangaziwa Nuru kiroho na nafsi.
tumia ua la rose kama ishara ya upendo katika nguvu za kiroho.
hii Ina nguvu kubwa kwani watu wa magharibi wengi hutumia kunena na kutumia picha na ya la rose katika mapenzi .
chama hiki ni kinataka uwe mkweli, mwaminifu, mtunza heshima, uvumilivu, karibu sana @Aalliyah katika chama huru chama chenye nguvu kubwa duniani, chama chenye kumfunza mtu nidhamu na uwazi, chama chenye utajiri bila ukomo. Fanya maamuzi yakinifu. Kila la kheri.
🙄🙄🙄🙄🙄Mkuu HAPANA lina sharti lake sio la kutumwa hilo.Mkuu naomba unitumie pm hilo andiko kama hutajali
Mkuu tupeane mwanga na sisi tuyafahamu ya gizani yaliyo ulimwenguni,[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Mkuu HAPANA lina sharti lake sio la kutumwa hilo.
Naweza kukutumia mengine ila sio hilo kaka.
Kuna dizaini yake ya pili hilo unaweza kuligawa bila sharti ila sio hilo la kwanza.
Kesho usiku nitakurushia PM maana kuna ambazo za kuandika nimehifadhi kichwani na kuna zingine za kupekua kitabu/shajara.Mkuu tupeane mwanga na sisi tuyafahamu ya gizani yaliyo ulimwenguni,