Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Umefanya nikumbuke Iblis alivyosema aliita akaja mtu mwenye miaka 400.We BHANA.
Mie sizungumzii vinafsi vichafu vipepo holela alivyoviita mleta mada ambavyo hata kwenye vikombe wanakaa.
Hapa nawazungumzia marohani wa majina ya kijani wa koo za falme za kirohani ambao kuwakuta kwao ni Baharini,Misitu minene,Mapango makubwa ama chini ya ardhi.
Hao unawaita kwa qassam za kiarabu maana hiyo ndio lugha yao ya kwanza.
Ila wakishafika unaweza kuongea nao lugha yeyote.
Hao sio poa hawakai chooni au kwenye vikombe.
Alivyomuomba ampe historia ya miaka hiyo akampa masharti ya kujipaka maji machafu ya chooni 😂😂😂😂
Kweli vibwengo vya kiswahili vina hila na roho mbaya..!!!