Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Lete maneno kiongozi natumai huku nilipo wapo, maana kuna misitu ya kushato.Majini wana matabaka kama sisi.
Kuna wa hadhi ya chini na ya juu.
Ila upande wao wale wa hadhi ya chini ndio mapepo machafu labda uwatumie katika kuua na mambo mabaya ila mali ni ngumu.
Wale wa hadhi ambao wanapatikana mbali kama bahari za mbali,misitu minene au Mapango makubwa hao ndio wasafi na wamiliki mali.
Hallelujah!!!