Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Umefanya nikumbuke Iblis alivyosema aliita akaja mtu mwenye miaka 400.
Alivyomuomba ampe historia ya miaka hiyo akampa masharti ya kujipaka maji machafu ya chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli vibwengo vya kiswahili vina hila na roho mbaya..!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tumshitaki kwa moderator!

JF ni jukwaa la kuongea ukweli anathubutu vipi kukuongopea?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maneno mengi km vibwengo vya kiswahili 😹😹😹
 
Umefanya nikumbuke Iblis alivyosema aliita akaja mtu mwenye miaka 400.
Alivyomuomba ampe historia ya miaka hiyo akampa masharti ya kujipaka maji machafu chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kweli vibwengo vya kiswahili vina hila na roho mbaya..!!!
Majini wana matabaka kama sisi.
Kuna wa hadhi ya chini na ya juu.
Ila upande wao wale wa hadhi ya chini ndio mapepo machafu labda uwatumie katika kuua na mambo mabaya ila mali ni ngumu.
Wale wa hadhi ambao wanapatikana mbali kama bahari za mbali,misitu minene au Mapango makubwa hao ndio wasafi na wamiliki mali.
 
Ndio lete connection sasa 😹😹😹
 
Ndio lete connection sasa 😹😹😹
Nakurushia mzigo usiku huu.
Kama utaweza kuusoma sawa kama hutoweza shauri yako.
Naku PM naanza na kisomo cha kinga kwanza nakurushia.
 
Nakurushia mzigo usiku huu.
Kama utaweza kuusoma sawa kama hutoweza shauri yako.
Naku PM naanza na kisomo cha kinga kwanza nakurushia.
Umetisha kwanza unanipa kinga kabisa kabla ya kunikutanisha na wazee wa kazi 😹😹😹
Mtu wa maana kabisa Kosugi
 
Ona ushaanza utaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
😹😹😹 jini akiitwa kwani anagonga hodi au mbamfungulia mlango??
Si mlisema anakuja direct na kuanza kukutisha??
Mwambie aje pm namsubiri
 
Hauko seriousπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ngojea ni deal na mzee wa Hallelujah!
No, tumekubaliana jini hapigi hodi yeye ni mzee wa show show anakuzukia popote..!!
Sasa mwambie aje pm 😹😹😹
 
Hahaha!

Unajua huyu ndugu yangu ni Yanga, na watu wa Yanga wana umanara umanara kidogo si unajua?!

Ila nitapmbana naye atakuonyesha na utawaona tu 😁

Cc Kosugi
Huyo bana atakuwa na vibwengo na vigagula vya kiswahili ananichosha 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…