Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
Lete maneno kiongozi natumai huku nilipo wapo, maana kuna misitu ya kushato.Majini wana matabaka kama sisi.
Kuna wa hadhi ya chini na ya juu.
Ila upande wao wale wa hadhi ya chini ndio mapepo machafu labda uwatumie katika kuua na mambo mabaya ila mali ni ngumu.
Wale wa hadhi ambao wanapatikana mbali kama bahari za mbali,misitu minene au Mapango makubwa hao ndio wasafi na wamiliki mali.
Astaghfirullah!😹😹😹 kanikosea sana mimi situmii kilevi chochote.!!
Yeye anatafuta sababu za kuninyima mchongo na hao majini wake
Shangaa na wewe.!!Astaghfirullah!
Nilidhani kweli unapiga vyombo kumbe anatafuta namna tu ya kukunyima mchongo!
Uchoyo bora kwenye ugali na pesa ila mpaka kwenye majini, Laa haulaa!
Bw. Kosugi namna gani tena ndugu yangu? 😎😎😎
😂😂😂😂Shangaa na wewe.!!
Majini nayo ya kumnyima mtu??
Waswahili wachoyo sana,
Tumuache wamtishe peke yake 😹😹😹
Eeh wamnyonge peke yake 😹😹😹😂😂😂😂
Wamtishe peke yake? 🤣🤣🤣🤣
Unajua kimasihara masihara wasije wakamnyonga kweli ndugu yetu!Eeh wamnyonge peke yake 😹😹😹
Naenda swali maghrib tutachekiana baada maghrib uwe umefungua PM mkuuLete maneno kiongozi natumai huku nilipo wapo, maana kuna misitu ya kushato.
Hallelujah!!!
Na mimi naenda kuswali piaNaenda swali maghrib tutachekiana baada maghrib uwe umefungua PM mkuu
Mlevi huyo achana naye 😂😂😂😂😂.Unajua kimasihara masihara wasije wakamnyonga kweli ndugu yetu!
Bw. Kosugi ndugu yangu,
Nikivuta picha yule aliyekushika alikuachia alama mkononi kwa muda mpaka ukawa unashindia kanzu. Sasa wakikunyonga!!....Laa haulaaa!
Mimi bado nakuhitaji ndugu yangu, ebu fanya toa connection ya majini bidada awaone!
Angalau lolote likikutokea, angalau uwe na watu wa kukulipia kisasi. 😁😁😁
Umekubali kuwa kanisani unaenda kupoteza muda kwa kusikiliza hadithi za kutunga zisizokuwa na kweli yoyote maana biblia imejaaa habari za uwongoUmekubali kuwa wewe ni muongo case closed! Eti unajua hadi lucifer anafananaje?... bwana weeeeeeee
Wacha kuruka mahoka, ishu sio mimi ni wewe kuwa muongo,nimekuumbua unahangaika. Ungekua na akili ungeweka hapa huyo lucifer unayemjua anafananaje, badala yake umekazana kusema kanisa, kama Wengine wanadanganya ndio na wewe udanganye?...light and sound level, mind barrier ulikua uzushi au vipi bwana weeeeee?!Umekubali kuwa kanisani unaenda kupoteza muda kwa kusikiliza hadithi za kutunga zisizokuwa na kweli yoyote maana biblia imejaaa habari za uwongo
Umezisikia habari za Yesu kwa kuwa Yesu ni hadithi za kutunga we umewahi kuijua sura ya yesu
Si unataka kuona sura za watu tunaomba utuwekee picha ya Yesu kama unamjua yaan kinyago mnakitunga halafu mnakiogopaWacha kuruka mahoka, ishu sio mimi ni wewe kuwa muongo,nimekuumbua unahangaika. Ungekua na akili ungeweka hapa huyo lucifer unayemjua anafananaje, badala yake umekazana kusema kanisa, kama Wengine wanadanganya ndio na wewe udanganye?...light and sound level, mind barrier ulikua uzushi au vipi bwana weeeeee?!
Wewe ni muongo period! Nimekuuliza kwa vile wengine wanaongea uongo ndio na wewe uongee uongo?!...kubali kwanza kama wewe ni muongo halafu ndio utake kujua dini yangu na ukweli wanguSi unataka kuona sura za watu tunaomba utuwekee picha ya Yesu kama unamjua yaan kinyago mnakitunga halafu mnakiogopa
Mimi nimekuambia wewe msema kweli mbona kanisani kila jumapili unafundishwa habari za uwongo lakini uwaambii kama ww msema kweli biblia imejaa stori za uwongo hata siku moja hujawahi sema sasa huo usema kweli wako uko wapi msema kweli
Nimekidhi vigezo vyote..Upo ila mashati yao ni matatu;
-Uwe haujazini kwa muda angalau miezi mitatu.
-Uwe hujatumia kilevi kwa muda wa miezi mitatu.
-Uwe hujatumia tumbaku pia kwa muda huo huo.
Sasa kama unafata biblia yenye habari za uwongo na kuiamini automatically wewe pia muongo maana haiwezekan ukubali habari za uwongo halafu wewe uwe mkweli kitendo cha kukubali na kufata biblia yenye hadithi za kubuni na za uwongo kimantiki wewe muongo kama wewe muongo utaweza vipi kuujua ukweliWewe ni muongo period! Nimekuuliza kwa vile wengine wanaongea uongo ndio na wewe uongee uongo?!...kubali kwanza kama wewe ni muongo halafu ndio utake kujua dini yangu na ukweli wangu
Majini wana matabaka kama sisi.
Kuna wa hadhi ya chini na ya juu.
Ila upande wao wale wa hadhi ya chini ndio mapepo machafu labda uwatumie katika kuua na mambo mabaya ila mali ni ngumu.
Wale wa hadhi ambao wanapatikana mbali kama bahari za mbali,misitu minene au Mapango makubwa hao ndio wasafi na wamiliki mali.
Hujakataa kama wewe ni muongo sio??? Hii ya kupoint fingers wengine ni waongo doesn't do you any favour....sana sana inaonyesha jinsi ulivyokuwa unataka kutupiga kamba, dogo hapa JF sio kwa watoto wenzio...mnaocheza chandimu..stori za fix kawadanganye watoto wenzio.. alamsiki ...naona hukubali unaona una reputation to protect baada ya kutudanganya..Pole weweeeeee...unajijua ni muongo byeSasa kama unafata biblia yenye habari za uwongo na kuiamini automatically wewe pia muongo maana haiwezekan ukubali habari za uwongo halafu wewe uwe mkweli kitendo cha kukubali na kufata biblia yenye hadithi za kubuni na za uwongo kimantiki wewe muongo kama wewe muongo utaweza vipi kuujua ukweli
Ili wewe uwe msema kweli inabidi ukae mbali na uwongo kitendo cha kufuata biblia yenye stori za uwongo kimantiki wewe pia muongo kama ingekuwa wewe sio muongo usingekubali kufuata biblia yenye hadithi za uwongo sasa huo usema kweli wako upo wapiHujakataa kama wewe ni muongo sio??? Hii ya kupoint fingers wengine ni waongo doesn't do you any favour....sana sana inaonyesha jinsi ulivyokuwa unataka kutupiga kamba, dogo hapa JF sio kwa watoto wenzio...mnaocheza chandimu..stori za fix kawadanganye watoto wenzio.. alamsiki ...naona hukubali unaona una reputation to protect baada ya kutudanganya..Pole weweeeeee...unajijua ni muongo bye
Unataka uitiwe au uwaite mwenyewe!?hao wa hadhi mimi ndio nawataka wanipe hizo mali na mihela