Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Mkuu habari za leo, samahani mkuu je unaweza share na mimi hiko kitabu na mm nipate maarifa japo kidogo, ndg, natanguliza shukrani
 
Vipi mkuu Anita Leo umeshaenda kanisani kudanganyana na wenzako maana Leo jumapili mshadanganywa na kuibiwa pesa zenu na wanjanja halafu wewe bado upo upo kweli karne ya 21 bado mtu anaamini stori za watu waliwahi kuchomwa moto mji mzima kisa wanafanya dhambi Leo mbona watu wanafanya dhambi na hakuna hizo habari au Mungu wa zaman alikuwa mkali Leo amekuwa mpole hizo ni dalili wazi za kuonyesha hicho kitabu ni hadithi za kitungwa tu
 
Habarini za leo wanandugu! Samahanini natoka njee ya mada kidogo, naomba kuwauliza wale ambao wanafanya biashara je huwa mnakabiliana vipi na ile hali ya kupotea kwa hela kwenye biashara zenu pasipo kuibiwa na mtu, lakini ukija kufanya hesabu unakuta kuna hela imepungua hata kama hapo kwenye biashara uko mwenyewe naombeni msaada wa hali hii ukweli inanitesa sana, mpaka nimefikiq hatua ya kukata tamaa kabisa na biashara
Natanguliza shukrani zangu kwenu
 

Hakunaga kitu kama hiki. utakua tu unakosea mahesabu ndugu yangu. Achana na hii imani kuwa makini kwenye mahesabu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…