Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

Mjasiliamali naona unajaribu kuwashawishi raia uwaagizie vibao vya oujia board kupitia Amazon
 
Mkuu nilivyo utupa ubao, nikasoma sehemu nikaona napaswa kuuchoma moto kabisa, lakini bado nahisi sijamaliza kazi.

Ila nitahama na kujaribu sehemu nyingine nione kama bado mauzauza yataendelea
 
Ni rahisi, pia nimegundua unaweza kuunda huo ubao mwenyewe na sio lazima kununua au kuagiza. Ila kuna maneno ya kusema wakati wa kuanza zoezi la kuita Spirit husika
Dadavua mkuu mimi nataka niviite vibwengo na vigagu wa kiswahili
 
Tena ashukuru aliita wazungu wastaarabu, angeita vibwengo vya kiswahili ss hivi angekuwa anaokota makopo 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…