Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mzee wa research 😹😹😹Sema huyu jamaa nimchunguzi wa mambo mno huwa nafuatilia nyuzi zake kwa ukaribu mno huenda akaja kugundua kitu😁
Kuna mtoto wa dadaangu ana tabia hizo hizo anapenda kuchanganya changanya vitu, kuna siku alichanganya vitu gani sijui vikamlipukia nilivyorudi home nikamkuta ana vidoti vya kuungua usoni nikabaki nasikitika..!!
Kuna friji lilikuwa linasumbua nikamuita fundi akatengeneza baada ya mwezi likaanza tena kusumbua linapiga kelele, chuma kilivyorudi likizo akacheza na friji ikawa nzima no kelele inapiga kazi..!!
Ana vimatukio vingi mpk naogopa asije kunichomea kibanda changu cha urithi.!!